TTCL vipi?Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano amewasilisha bajeti yake na kuliomba bunge kuidhinisha kiasi cha shilingi za kitanzania 4,895,279,317,500.00 na kutekeleza miradi mbalimbali ya wizara yake.............. wabunge wanaendelea kujadili wizara hiyo
Na TTCL je?Hii iko poa sana, hapo tunataka meli na ndege za kutosha ili uchumi upae
Kwani iko ktk wizara ya ujenzi na uchukuzi?TTCL haijatajwa hata sehemu moja, majanga haya.
Ukisoma vyema utaona "mkongo wa mawasiliano" umetengewa pesa. Unaweza kutenganisha mkongo na TTCL?Kwani iko ktk wizara ya ujenzi na uchukuzi?