Recent content by hegel

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kubenea uko wapi, rais anakutafuta kwenye Uzinduzi wa Hostel Chuo Kikuu

    Umenena vyema kabisa, anajua kuandika Sana kuliko kuongea na kutenda
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kubenea uko wapi, rais anakutafuta kwenye Uzinduzi wa Hostel Chuo Kikuu

    KUBENEA UPO WAPI RAISI ANAKUTAFUTA Leo Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwepo jimbo la Ubungo katika uzinduzi wa hostel mpya za chuo hicho. Kabla ya kuhutubua alimtaka mbunge wa eneo husika kupanda Jukwaani kusalimia. Cha kushangaza mbunge huyo hakuwepo eneo hilo. Najua...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu(Bunge) - Uledi Abbas Mussa

    Huyu Uledi kipindi cha JK alikuwa Katibu mkuu Wizara ya viwanda na biashara Nahisi madudu yake yamedukuliwa ndo yamemponza Leo
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu kitendo cha yule mama aliyevamia mkutano wa Rais Magufuli

    Hamna Idara makini kama usalama wa taifa, wako makini kuliko unavyofikiria wana hisia ya Sita! Hilo la rais kudhuriwa Sahau kabisa!!!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Moyo sukuma damu.. RIP Bro

    Ana mwandiko mbovu Sana!
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimemjua niliyetaka kumjua. Je, nini nifanye?

    Hili swali muhimu Sana
  7. H

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu: 'Massage Parlour' ni zaidi ya maduka ya ngono

    Mkuu Leta namba faster
  8. H

    JamiiForums Tanzania UKAWA na ACT Wazalendo kwanini mlisusa na sasa mwala?

    Umepanic
  9. H

    JamiiForums Tanzania UKAWA na ACT Wazalendo kwanini mlisusa na sasa mwala?

    Hili swali sio rahisi kujibiwa kwa hoja! Hapa yatakuja matusi, ngonjera na mipasho
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Unatetea ushoga??? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mossad/ Kidon hawa Ni Wauaji Wabobezi Duniani. Ni Robots waliofundishwa Kuua kwa kila aiya ya kifo

    Mossad wapo vizuri hadi M16 wanapinga saluti
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Vyama vingine wakitaka kufanya vikao hapa Ikulu waombe!

    Naona mwelekeo wa Tanzania Mpya sasa!
  13. H

    JamiiForums Tanzania Chuki tuliyo nayo kwa Taifa letu ni kubwa kuliko tuliyo nayo dhidi ya Shetani

    Ni kweli kabisa, UZALENDO kwa sasa Umebaki kwenye maandishi vijana wanaamini vyama vyao ni muhimu sana kuliko nchi yao!
  14. H

    JamiiForums Tanzania GPA hazifai kutumika ktk kuajiri wahadhiri na wahadhiri wasaidizi

    Unaweza ukawa sahihi ila usiwe sahihi
Back
Top Bottom