Recent content by Hedex

  1. H

    Viwanja vinauzwa

    Vina hati?
  2. H

    Ajira za utumishi kizungumkuti!

    Sawa wakuu nilikuwa nauliza tu Maana hakuna info zozote Anyway michakato mingine iendelee!! Asante.
  3. H

    Ajira za utumishi kizungumkuti!

    Habari zenu waungwana! Mwezi wa saba hawa jamaa wa utumishi walichukua dodoso kwa baadhi ya wanafunzi wachache wa mwaka wa mwisho wenye ufaulu mzuri pale IFM. ambapo walipigiwa simu kwenda kujaza hizo dodoso na baadhi yao walishafuatiliwa taarifa zao kwa wadhamini waliowajaza ktk hzo dodoso...
  4. H

    Utafiti: Wewe Unapatikana maeneo gani ya Tanzania?

    Habari zenu wakuu. Ninafanya kautafiti fulani kanakohususu matumizi ya mitandao ya kijamii na distribution ya watumiaji nchini. Ningependa wewe utakaefungua huu uzi uniambie mahala unapopatikana Tanzania hii. Nikianza na mimi mwenyewe napatikana Wilaya mpya Kagamboni mkoani Dar es salaam...
  5. H

    Natafuta chumba cha kupanga self contained maeneo ya kigamboni Bei isizidi 70,000 kwa mwezi

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza chumba kiwe maeneo karibu ya feri, mwenye nacho anitafute kwa number +255654079466 Natanguliza shukrani!
  6. H

    Ushauri: Mumewe wa ndoa ameoa mke mwingine, anagoma kumpa talaka

    Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka, ninae class mate wa mimi aliolewa mwaka 2009 kwa ndoa ya kikristo(katoliki), ndoa yake ilidumu kwa muda wa miaka miwili tu akatengana na mume wake chanzo kikiwa ni umalaya uliopitiliza wa huyo mume wake kwani alidiriki kutembea hadi na...
  7. H

    Haya ndio anayoyapenda mume wangu na kuiharibu ndoa yangu

    Ni-pm naweza kukuvusha katika hilo tatizo! Ingawa hata mimi n muhanga pia ila i have found a way!
  8. H

    Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

    Asanteni kwa mashauri yenu, nitayachuja na kuchagua which is best for me!
  9. H

    Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

    Ngoja nijaribu mkuu, inaweza ikawa win win situation kweli!
  10. H

    Nanyimwa unyumba kisa mimi ni mwana UKAWA

    Sasa nikiuchuna si atapata mwana CCM mwenzake huko, na ikiwa hvyo si kitakuwa balaa jingine ndani ya house.
Back
Top Bottom