Recent content by hebronrey

  1. hebronrey

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Upo kada gani halmashauri?
  2. hebronrey

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kote inabaki hivyo hivyo kwangu mimi ipo hivyo
  3. hebronrey

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukifanya oral na usichaguliewe inabak hivyo hivyo selected for oral
  4. hebronrey

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama ulishajaribu kufika ad mwisho alaf umerud nyuma inagoma bas shida ni wao jaribu kwenda office zao watakusaidia
  5. hebronrey

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hizi za MDA Siku yetu tulifanya oral walisema baada ya wiki tatu
  6. hebronrey

    Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

    Ata saa 12 jion gar unapata enda CBE pale utapata gari
  7. hebronrey

    Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa! Research hawatoi Tena!

    Hawa jamaa hawatabiriki mimi nimefanya pepa jmos ya tarehe 3 research ilikuwepo cha muhimu ni maandalizi ya kutosha tu
  8. hebronrey

    Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Vipi kuhusu kuita watu interview kada ya Transport officer Kwa MDA'S na LGA'S au zimefutwa?
  9. hebronrey

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Interview ya written?
  10. hebronrey

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hi nna 120 k Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hebronrey

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hii Bado ipo? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hebronrey

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Ballo la Nguo za watoto grade A linapatikana kwa shilling ngapi mkuu
Back
Top Bottom