Recent content by Hebron Caleb

  1. H

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Dharura: Wafanyakazi wa TRA wameamriwa kutoa taarifa za madeni na mali zao

    Na kama mali zimeandikwa kwa jina la mtu mwingine inakuwaje???
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS za kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu

    Wasamehe watu makosa yao ili baba yako wa mbinguni naye akusamehe ya kwako. Au nenda kwa papa si yuko hapa jirani nairobi tu ukapate ushauri.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama ni mke wa mtu

    Uzinzi ni dhambi. Acha tabia hiyo asap.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya wanawake kutembea matiti nje duniani

    Wamekosa kazi ya kufanya.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Tena mgombea kusema atafunga eti majizi na mafisadi ni unafiki mtupu, si anao kila siku huko ujenzi? Mbona amewashindwa kwenye mizani, barabara mbovu kila mahali hata hii ya strabag si barabara njoo hapa Bucha kwa Thomas uone. Aache kutudhihaki, akitaka ht leo anaweza ila hawezi hayo ni maneno...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Unajua mtu aliyezoea gari binafsi na ndege kupanda daladala ni kujishusha sana. Huyu mzee amewaza mbali sana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    We need transformative Leadership"
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nsanzugwanko adanganya fomu za uteuzi

    A leader must know the way, show the way and go the way ""
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tiles bomba na katika mwonekano tofauti zinapatikana duka letu Kariakoo

    Kwani kutaja ni za nchi gani ni mbaya? Kuna za china, spain, italy, turkey nk hizi za kwako ni za wp
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tiles bomba na katika mwonekano tofauti zinapatikana duka letu Kariakoo

    Zinatoka nchi gani?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mafuta Petrol Stations

    Asante kwa elimu nzuri.
  12. H

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

  13. H

    JamiiForums Tanzania Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    Mtavuna mlichopanda. Kanisa ni lazima lipasuke. Na ni kwann mlikuwa mafanya uasherati?
Back
Top Bottom