Recent content by Heavy equipment

  1. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania video, ligi yetu imeingiliwa, wachezaji wamefungwa na Yanga lakini wanacheka na kutaniana, mechi ya Pamba yatajirudia haya haya

    Wakati mnaongoza ligi maneno ya la familia hayakuwepo😂😂😂 Mkishinda mechi zenu - mnautafuta ubingwa Mkitoka sare- mnatengeneza timu Ngoja ligi iishe tujue wachezaji wa billion 10 mnawaacha wangapi😂😂
  2. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania Wana simba tuache lawama...

    Bado ujachema 😂😂😂
  3. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Mbona vilio.. Mkiongoza ligi ...ubingwa mnautaka Mkitoka droo ....mnatengeneza timu 😂😂😂😂
  4. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

    Kwahiyo bila penati ushindi hakuna 😂😂😂😂
  5. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Saidi katuwakilisha vizuri sisi marijali💪💪💪
  6. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania Leo mjanja nimekamatika, naona kama nimetapeliwa Tsh. Milioni 1

    Karne hii bado unatoaga pesa huko ATM
  7. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

    AZAM VS SIMBILISI 😂 😂 MANGUNGU OUT🫵
  8. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mungu amebatilisha Ushindi wa kulazimisha baada ya mechi kuchezwa dakika 108

    Hongera fountain gate Kwa kutoa password ya dhulma Azam vs simbilisi 😂 🫣 😂
  9. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Zanzibar kilo 1 ya kiti moto ni shilingi 15000
  10. Heavy equipment

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Benchinka usiondoke Tanzania mpaka ukutane na [emoji360][emoji2785] na pakome [emoji113][emoji123][emoji113][emoji3448][emoji172][emoji91][emoji91]
  11. Heavy equipment

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Yaani sijui nitachomokaje
  12. Heavy equipment

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Hicho ni kisa cha kweli[emoji120][emoji120] "Aliyefanya umafia huo tajiri mmoja wa kichaga na mke wake alikuwa kajazia inye jamaa alichezeea kifiro mpaka utumbo ukatoka" Kuna jamaa yangu alikuwa na hiyo vedeo ila tulishapotezana nae katika harakati za kusaka maisha.... Vedeo ilitisha....japo...
Back
Top Bottom