Recent content by Heart

  1. Heart

    GE2020 Iringa: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Hivi Jessica ameshatangazwa? Naona mji upo kimyaaa
  2. Heart

    Hivi inakuaje mtu unaachana naye then anatafuta rafiki au ndugu yako wa karibu yako ana-date naye ili kukukomoa, imekaaje?

    Wanaume haooo.. Na utakuta mtu asiyekubaliana na ukweli ndo anafanya huo udwanzi.
  3. Heart

    JamiiForums Usiku wa manane

    Usingz njoooo
  4. Heart

    Uchepukaji wetu wanaume hauna madhara tofauti na nyinyi

    Kuhalalisha uzinziiii nako K
  5. Heart

    Uchepukaji wetu wanaume hauna madhara tofauti na nyinyi

    Hata kama hatotumia uchawi.. Kuchepuka ni Kuchepuka tu. Kuimba na kucheka yote ni makelele tusitake kuhalalisha upuuuzi. Mwenza yoyote akishachepuka kuna athari kubwa sana anaileta kwenye moyo wa mwanamke,kubwa sana. Na ikifika hatua akasema basi, inakuwa basi kweli.
  6. Heart

    Wanawake si wabinafsi kama wanaume mnavyotuchukulia, huwa tunawaza msiyo ya waza

    Weee kumtajia mwanaume GAWIO la kikoba ni kosa la jinaiii.. Mbona hutabakiwa na hata sent tano. Plans zote za pesa atapanga yeyeee hahahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Heart

    Wanawake si wabinafsi kama wanaume mnavyotuchukulia, huwa tunawaza msiyo ya waza

    Ndio umaandazi wenyewe huo, kisha mtoto akikua unajitokeza kuleta vurugu. Ndo maana tunawajazaga simu tangu utotoni sababu ya umaandazi kama huo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Heart

    Sitakusahau mpenzi wangu

    Hahahaha hahahaa powleeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Heart

    Je, hao wasichana mnaowaingilia kinyume na maumbile, mtawaoa?

    Mwenyezi Mungu naomba tunusuru sisi waja wako na dhambi.. Khaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Heart

    Uvaaji wa magauni mafupi, vimini, kikaptula

    Kila mtu anaweza kuvaa chochote anachojisikia ili mradi yeye anajiamini kapendeza na hajamkwaza mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Heart

    Mayai yalivyonitesa katika mimba yangu ya kwanza

    Guevara Jr, Mmeenda hospital kubwa?.. Mambo ya ujauzito ni sensitive sana aise Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Heart

    Mwanaume ukifilisika kipesa, bhasi ujue mke/girlfriend wako atakukimbia

    AlphaMale, Sio kweli, inategemea mahusiano yenu mlianzaje, First impression is always the last impression Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Heart

    Mahusiano kati ya kuharibika ngozi na unywaji wa pombe

    Habari zenu wandugu, Naomba kufahamu ama kujuzwa kama kuna mahusiano kati ya kuharibika kwa ngozi na unywaji wa pombe kali/bia? Na kama ipo ni kwanini? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Heart

    Njombe: Mwanamke ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua na kumla nyama Mtoto wake

    Poleni sana wana njombe, huyo mama bila shaka ni mwezi mchanga au mchawi kha
Back
Top Bottom