Recent content by Head up

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu jinsi ya Kuanzisha community based organisation

    mkuu ulifanikiwa kukamilisha usajili wa cbo?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Community Based Organisation (CBO)

    Habari wana jamii Ninaomba kwa anaefaham anijuze utaratibu wa kuanzisha Community based organisation (CBO) wilaya, tayari tumesha andaa katiba pamoja na muhtasari wa kikao hivyo tunahitaji kufaham hatua zinazofuata. Natumai nimeeleweka wakuu. nawasilisha.
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    shusha vitu MKUU INSIDER MAN
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    bonge la story
  5. H

    JamiiForums Tanzania Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

    Aise!!! Si kumnusuru yeye,bali kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu.Mtu hawezi kutegemea msaada wa Mungu bila juhudi ya kweli ya kuunga mkono Dini Yake.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hans anafaa kuondolewa katika kipindi cha michezo CrownFM, anajenga chuki isiyo na ulazima

    akishaondolewa basi wakuajiri wewe mkuu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ukraine yapokea miili ya wanajeshi wake waliouawa Urusi

    hizo namba ni binadam ama! aisee
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya KOMBE LETU Iko Hivi

    kwishaaaaaaaa
  9. H

    JamiiForums Tanzania Uzazi wa kushangaza wa chura

    Ametakasika muumbaji.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Je, kweli Yanga wenye akili ni wawili tu? Kuna mwana Yanga hapa anayeweza akatuelezea kinaga ubaga kwanini wanakusudia kususa derby?

    Aliewaita mbumbumbu hajakosea.jadili na mbumbumbuz wenzio
  11. H

    JamiiForums Tanzania Bila Shaka hutu ni Rais wa Yanga Eng Hersi, Madhitaka yake huko Fifa y ameiva

    mtoa mada hata kuandika hujui,tuliza kichwa mbumbumbu wahed! ni kama unawashwa.
  12. H

    JamiiForums Tanzania A: Mpanzu vs B: Pacome

    pacome
Back
Top Bottom