Recent content by Head Gelo

  1. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya agrovet

    Una elimu gani
  2. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

    Vijaza kwenye moja mbili
  3. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Nishauri kuhusu Mkopo

    Mpuuzi sana huyu
  4. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Nishauri kuhusu Mkopo

    Usikariri maisha dogo ,mimi siyo mwalimu ,hata miaka 33 sina ,nina mume wangu na watoto wangu ila nina uhuru wa kiuchumi bila kujali nini mume anachangia
  5. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Nishauri kuhusu Mkopo

    Wewe ni mpuuuzi
  6. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Nishauri kuhusu Mkopo

    Mkopo wa mtumishi bado miaka mitano uishe Chumba kizuri single kodi nalipwa elfu 60 ,nina vumba viwili na eneo linatosha vyumba kama nane Nikijenga standard na choo kwa hapa chumba ni laki moja ila vymba vya sasa vya kawaida ila vikubwa
  7. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Nishauri kuhusu Mkopo

    Asante sana kwa idea hii
  8. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Nishauri kuhusu Mkopo

    Mshahara wangu Take home ni laki nane kwa sababu nina mkopo NMB ambao bado saa uishe ulikuwa na miaka 6 Hapo hapo nina biashara ya duka la hardware napata mia mbili mbili ,na vyumba viwili vya kupanga ambavyo napata 120,000 kwa mwezi Sasa hii biashara imeyumba kwa kiasi flani bidhaa zimeisha...
  9. Head Gelo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wale tuliolelewa na mzazi mmoja

    Hii stori nilitunga ila nimesoma nimepata kitu hahahahah mimi comedy sana
  10. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji1787][emoji1787]
  11. Head Gelo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

    Wanaume vitu vinavyowavutia mmmh vya kawaida sana
  12. Head Gelo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ilivyo ngumu kwa Mzee kipanda mlima ndivyo ilivyo kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na hela

    Naandika baada ya kufanya uchungu wa kina Sana Wapendwa tukiacha Yale mapenzi ya sekondari ,tukaja kwenye utu uzima yaani kuanzia miaka 27+ Ni ngumu sana kwa mwanamke kumpenda mwanaume asiye na hela( jamani mtanipiga mawe mtasema sijui vipi lakini ukweli Ni kwamba Ni ngumu kumpenda mwanaume...
  13. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi fikiria usiku wako wa kwanza kaburini?

    Ooh Jesus,
  14. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Ulipataje mtaji?

    [emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Head Gelo

    JamiiForums Tanzania Ulipataje mtaji?

    [emoji106][emoji123][emoji123][emoji123] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom