Ulipataje mtaji?

Ulipataje mtaji?

Tatizo ni kwamba aina ya biashara ambayo naitamani ni kama uwezekano wa kuanza mdo mdo ni mdogo, mfano vifaa vya ujenzi au phamarcy, hizi lazima uwe na frem ambayo gharama yake is not less than 300k, kwa jinsi ambavyo dawa na hizi materials zipo naanzaje taratibu? Msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaanza na kaduka ka dawa muhimu, dika litakua utafika tu huko unapopataka.
 
Amen,, kila binadamu anapenda aishi katika ndoto zake ,,Mungu ndo mpaji

Mimi sina kitu ila ninapo mwona kijana mdogo au baba mtu mzima anauza vitu vidogo dogo stand naumia sana ,,nataman angekuwa na uwezo achukue fremu yake afanye biashara hiyo kwa ukubwa
 
Nimesikia kilimo cha pareto hakihitaji mtaji kama una shamba.
Nikimaliza masomo naingia kwenye kilimo mzimamzima.
 
Mkuu unaanza na kaduka ka dawa muhimu, dika litakua utafika tu huko unapopataka.
Siyo simple hivyo mkuu, frem nyingi mjini sehemu nzuri si chini ya 250-30k, alafu unatakiwa ulipie kwa mwaka almost milion 3-3.5, then kuna ile mtu akitaka akupe frem aondoke lazima umpe m. 2 hadi tatu hiyo kuachia tu ujajumlisha kodi hiyo hapo juu, ujaitengeneza katika hali unayotaka wewe kulingana na aina ya biashara kwa harakaharaka matengenezo na hizo kodi haiwezi kupingua 5m. Njoo kwenye kuagiza mzigo sasa
Hapo wengi ndo tunakwama, so kwa biashara ya kawaida angalau uwe na kuanzia 10M. Wazoefu wa biashara mjini mnikosoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One thing to note, be optimistic first, live your dreams through practicals ndio njia stahiki ya kutoboa, maana ukijaribu mara kadhaa bila kukata tamaa ndio kutoboa kwenyewe, lakin yatupasa tu avoid theoretical calculations with no practicals maana theories hutudanganya sana..

Sijuiii nimeelewekaa!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo simple hivyo mkuu, frem nyingi mjini sehemu nzuri si chini ya 250-30k, alafu unatakiwa ulipie kwa mwaka almost milion 3-3.5, then kuna ile mtu akitaka akupe frem aondoke lazima umpe m. 2 hadi tatu hiyo kuachia tu ujajumlisha kodi hiyo hapo juu, ujaitengeneza katika hali unayotaka wewe kulingana na aina ya biashara kwa harakaharaka matengenezo na hizo kodi haiwezi kupingua 5m. Njoo kwenye kuagiza mzigo sasa
Hapo wengi ndo tunakwama, so kwa biashara ya kawaida angalau uwe na kuanzia 10M. Wazoefu wa biashara mjini mnikosoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa lakini sio lazima uanzie mjini.
Unaweza toka nje ya mji gharama zote zitakuwa ni ndogo halafu mtaji ukikua unahamia mjini na hizo hela.
 
Mtaji......
Kuna mitaji miwili mikubwa ambayo Watanzania hawana.
1. Mtaji wa wazo la biashara
2. Mtaji fedha na elimu ya kukuza biashara
Ni kweli kabisa hivyo vitu unavyo vizungumza kwa watanzania tulio wengi hatuna

Love and peace
 
Kuna option ya kukopa pia tusiidharau.. Unaweza kujiunga katika vikundi au SACCOS ambayo inatoa mikopo kwa riba nafuu na ukaweza kukopa kiasi cha pesa kukuza biashara yako.
 
Back
Top Bottom