Recent content by HB wa kigogo

  1. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake hung'ang'ania kubaki na watoto baada ya mahusiano kuvunjika?.

    Hapo wanaangali uwezekano wa kurudiana. Wanaamini watoto huwaunganisha wazazi na kingine maokoto.
  2. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Wadau mpooo
  3. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

    Huwa inaboa sana una kuwa na mwanamke ambaye haridhiki yani Kila kitu anataka kasoro roho tu.
  4. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

    Haupaswi kujenga au kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mpangaji mwenzako au mwanamke au mwanaume unayefanya nae kazi sehemu Moja kwa sababu mapenzi siku yakiisha Yana kuwa uadui.
  5. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Binti amelogwa, kwao ni wachawi

    Tangazo hili, ila umesahau kuandika namba ya simu.
  6. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Popoz mpooooo
  7. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Napitia magumu, nimegundua mke wangu mtarajiwa anani-cheat na jamaa ambaye anadai ni rafiki tu

    Kila kitu kifanyike kwa kiasi. Kama unampenda, basi mpende kwa kiasi. Binti haujamuoa anakupasua kichwa, piga chini. Kwa jinsi inavyoonekana ana mthamini sana huyo jamaa kuliko wewe.
  8. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

    Kazi ya chura ni nini kama mwanamke hajielewi?
  9. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi ya kimapenzi yanavunjika kwa sababu wengi wameyafanya kuwa chanzo chao kikubwa cha furaha

    Tafuta furaha yako kwanza mkuu binadamu haridhiki.
  10. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    Amepigwa ngumu "ndoige". Cha muhimu amemuachia uhai. Haki itapatikana hapa hapa duniani
  11. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Familia niliyotoka inavyoathiri mtazamo wangu juu ya mahusiano ya kimapenzi

    Unamtia kijana sumu, anapotea
  12. HB wa kigogo

    JamiiForums Tanzania Kwa waliolima Kiteto virginland tujuane

    Tembelea mbigiri kuna mashamba ya mbuga
Back
Top Bottom