Vipi yule mbunge wa darasa la pili wa kule Njombe( Makambako), vipi LUKUVI? HA ha ha , tulia mzee. vipi ushabikie mpinzani wako. we all live downstream.
Hayo wala sio mambo ya chama, ni kama Komba na Membe tu. lakini Lema ameonyesha udhaifu sana. majuzi Mwigamba alisema Lema ni bogoz, sasa tumeanza kuamini.
Hayo ni mambo yao binafsi, sio mambo ya Chadema, wala Lema sio msemaje wa Chadema, ni kama Hamisi Kingwangwala anavyotafuta umaarufu wa kumng'oa spika, utasema ni CCM. Hao watakuwa wamenyang'anyana Demu.
Lakini ukimgundua mtu mapungufu yake , ni vizuri kukaa kimya. Tunaanza kuwafahamu yupi feki...
Nakumbuka maneno ya Mzee wasira mwaka 1995 baada ya CCM kumtosa kugombea Ubunge, alisema haya. CCM INAUMWA UGONJWA USIOTIBIKA" UKIMWI), SITAWEZA KURUDI CCM TENA. wananchi wakamwani wakampa ubunge. ubunge ukatenguliwa kwa vile ilithibitishwa na Mahakama alitoa rushwa, akafungiwa 5 years bila...
Vipi ile kesi ya Rage ya kumpiga kijana wa CDM imefikia wapi? Pia vipi ile kesi ya yule mbunge wa kule Dodoma ya kuomba kupokea rushwa nayo imefikia wapi? ama upelelezi haujakamilika? Ngoja tuone , yetu macho.
Mkuu pia watoto huwa wanafuata ubwabwa, umesahau pale Morogoro. muulize Kinana, bila ubwabwa hakuna kitu, watu wamechapika balaa. maisha bora kwa kila mtanzania.
Kwa akili yako ilivyo fupi unafikiri kuna dawati lilmenunuliwa hapo. hivi huwajui wabongo eeeh. hizo wamegawana Kagasheki na huyo Mama. HAKUNA DAWATI. Eti 55,000 desks!
Wabunge wa CCM igeni mfano wa Madiwani wa Bukoba, CCM ilipofikia haiwezi kumfukuza Mbunge wala Diwani, hivyo acheni hofu. Kwa mwendo wa CDM, chama cha machafuko(ccm) hakitadhubutu kumfukuza diwani wala mbunge. Pigeni kazi ya kufichua ufisadi.
Hayo ni miongoni mwa matamko dhaifuuuu ya CCM, Kwani siasa lazima ufanye ukiwa CCM? Hajui kutakuwa na mgombea binafsi. Nape tuambie madiwani mmedhibitisha kuwa wamefukuzwa? mbona unaleta rojorojo za siasa.
USHAURI WA BURE. Mr Mwampamba rudi nyumbani kule Mbozi kasaidie kufundisha pale Mlowo ama kule Iyula. CCM hawatakupatia nafasi ya kugombea ubunge kama unavyofikiria, please mdogo wangu , tafuta kazi utulie, siasa waachie wajanja. Wote sisi ni wafuasi wa vyama mbalimbali lakini tuna kazi zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.