Recent content by Hayangeee

  1. H

    Zahera: Hakuna mchezaji wa Yanga anaweza kucheza Pyramid FC. Tulisajili kwa ajili ya Ligi Kuu sio Klabu Bingwa Afrika

    Hiyo ligi kuu amefanya nini kama alisajiri kwa ajil ya ligi kuu?
  2. H

    Natafuta shule ya Advance, Private iwe ya bweni na yenye combination ya HGL

    Habari zenu wadau, mimi ni mkazi wa Dar, nahitaji shule ya advance iliyo mkoani tofauti na Dar yenye unafuu wa gharama. shule iwe ya bweni (boys) au (mchanganyiko). Combination ni HGL. Nitashukuru sana, kama nitapewa na mawasiliano. Ahsante.
  3. H

    Msaada kwenye hili wapendwa

    Nina dada yangu ameresit mtihani wa kidato cha nne mwaka jana. Amepata DIVISION IV 26 akiwa na C mbili, D tano na F moja. Anahitaji kusoma UWALIMU wa primary. Je, anaweza akajiunga chuo cha serikali?, kama anaweza ni jinsi gani ya kujiunga huko. Lakini pia kama hawataruhusu serikalini, je...
  4. H

    Wasomi nisaidieni

    Aisee nimepata kitu na mm
  5. H

    Ndalichako akata mzizi wa fitna

    Naombeni msaada kwenye hili jamani... Kwa vile GPA imeshafutwa, he matokeo ya kidato cha nne yanayotarajia kutolewa hivi punde watatumia mfumo gani, Division au GPA ?
Back
Top Bottom