Recent content by Haya girl

  1. H

    Wanawake Warefu (Tall Women)

    Wanawake warefu sana havutii kabisa hata uwe na tako km beseni bado unaonekana kawaida hushtui kabisa Mna hulka ya dharau ndo maana hampati waume kirahisi au mahusiano yenu hayadumu mnaishia kutumiwa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    Wakuu msaada, Kuna kiumbe amening'ata kidole sikufanikiwa kumuona kwa macho ila tangu asubuhi kidole kimekufa ganzi

    Za asubuhi? Vipi hali yako ya kidole/mkono mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Wakuu msaada, Kuna kiumbe amening'ata kidole sikufanikiwa kumuona kwa macho ila tangu asubuhi kidole kimekufa ganzi

    Amina ulale salama kesho ntapita kukujulia hali mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    Wakuu msaada, Kuna kiumbe amening'ata kidole sikufanikiwa kumuona kwa macho ila tangu asubuhi kidole kimekufa ganzi

    Jaribu kupaka japo muda umeshapita sana we nae uache ubishi Pakaa hapo alipokung'ata yaani sumu ilipopitia Ungemsikiliza huyo jamaa saiv ungeshapata nafuu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    Wakuu msaada, Kuna kiumbe amening'ata kidole sikufanikiwa kumuona kwa macho ila tangu asubuhi kidole kimekufa ganzi

    Poa ikikupa nafuu leta mrejesho hapa ni dawa iliyowahi msaidia mlezi wangu wa karibu miaka km 12 iliyopita Aling'atwa na ng'e, tulihangaika kwa masaa km manne mwanzo alidharau tukasema ni kawaida maumivu yatapoa Lakini maumivu yalizidi kuliko kawaida tulimuwekea mawe yote ya ng'e na nyoka...
  6. H

    Wakuu msaada, Kuna kiumbe amening'ata kidole sikufanikiwa kumuona kwa macho ila tangu asubuhi kidole kimekufa ganzi

    Hapo alipokung'ata pachanje kwa kutumia wembe tafuta nyanya iliyoiva ikate udondoshee maji yake itakusaidia kupunguza maumivu na sumu isisambae sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    Wanawake, muda gani huwa unachukua kufika kileleni?

    Mimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao Siku hizi imekuwa...
  8. H

    Nyie wadada mkiwa waongo muwe smart basi..

    Raha ya mwanaume apende mwenyewe bana Sijawahi kujitanguliza kimbelembele kumpenda mwanaume wananipenda wenyewe nami nafuatia kuwapenda wapo waliotongoza miaka zaidi ya 5 akapewa mara moja na mpaka leo mwaka wa 3 anabembeleza na mizinga anapigwa fresh tu Siuzi nakopesha
  9. H

    Nyie wadada mkiwa waongo muwe smart basi..

    Kwa muhtasari tu unakutana na unaofanana nao visichana wanawake tuko makini sana tunakupotezea hata miezi 6 then unapewa tamu kali halafu unapigwa mzinga mzito miezi mitatu baadae na wengi hamchomoki Muhimu tu ni uvumilivu akili na kutoendekeza njaa pesa zenu sie ndo watumiaji tatizo...
  10. H

    Kumbe kuchepuka ni tatizo la kisaikolojia tu

    Eti na wewe ni mwanaume?
  11. H

    Changamoto za uke wenza

    Wengi watoto humu kushea ni lazima sio hiari kwani akiloweka kwenye k ingine inaishilia? Akaloweke tu mradi akija kwangu anipe shughuli nzito sio kunipapasa Wanawake wengi humu mna mapenzi ya kisekondari bado hamjakua kabisa na mtalia sana tangu lini mwanadamu akawa malaika!!!!!
  12. H

    Changamoto za uke wenza

    Wote tuseme amina
  13. H

    Natongozwa sana na wanaume wa kijita na wahaya

    Karibu kambini wifi yangu mzuri mzuri japo mie wanaume wa kwetu hawanibariki kabisa on bed ni una nyota nao tu labda
Back
Top Bottom