Nyie wadada mkiwa waongo muwe smart basi..

Kwa muhtasari tu unakutana na unaofanana nao visichana

wanawake tuko makini sana tunakupotezea hata miezi 6 then unapewa tamu kali halafu unapigwa mzinga mzito miezi mitatu baadae na wengi hamchomoki

Muhimu tu ni uvumilivu akili na kutoendekeza njaa pesa zenu sie ndo watumiaji tatizo wasichana hawajui kuzinasa
We jimama utakuwa mutamu xana
 
Muvifundishe hivo visichana
 
Kama unadhani wewe uko makini basi wenzio ni zaidi yako.... Raha ya mwanaume apende mwenyewe bana, akifukuzia hata mwaka poa tu lakini anajua siku akipata itakuwa patashika
 
Raha ya mwanaume apende mwenyewe bana

Sijawahi kujitanguliza kimbelembele kumpenda mwanaume
wananipenda wenyewe nami nafuatia kuwapenda wapo waliotongoza miaka zaidi ya 5 akapewa mara moja na mpaka leo mwaka wa 3 anabembeleza na mizinga anapigwa fresh tu

Siuzi nakopesha
 
Back
Top Bottom