Kumbe kuchepuka ni tatizo la kisaikolojia tu

manento93

Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
54
Reaction score
33
Nimegundua kamchezo kakunifanya nisichepuke tena.

Nimeamua kulala chumba tofauti (chumba cha nje) na mke na kisha tunaanza kutongozana.

Yani tunachat WhatsApp, tunatumiana voice notes, imoji kwa sana,

Kwakweli nahisi kama mbinu hii inakuwa na mafanikio makubwa,,,

Naweza kusema teknolojia inaleta mapinduzi makubwa.

KUMBE KUCHEPUKA NI sawa na uraibu fulani, (psychological addiction)

Sasa naweza kuepukana na magonjwa kama UTI na hofu ya magonjwa hatari ya mtandao wa NGO***NO.

Nashukuru mke wangu ananiunga mkono.
 
Sijui kama mbinu yako itafanya kazi maana kuna wanawake warembo hatari. Walioko Tanga,Dar, Arusha wanafahamu usumbufu ambao wanaume tunakutana nao[emoji23][emoji23]
 
Nimegundua kamchezo kakunifanya nisichepuke tena.

Nimeamua kulala chumba tofauti (chumba cha nje) na mke na kisha tunaanza kutongozana.

Yani tunachat WhatsApp, tunatumiana voice notes, imoji kwa sana,

Kwakweli nahisi kama mbinu hii inakuwa na mafanikio makubwa,,,

Naweza kusema teknolojia inaleta mapinduzi makubwa.

KUMBE KUCHEPUKA NI sawa na uraibu fulani, (psychological addiction)

Sasa naweza kuepukana na magonjwa kama UTI na hofu ya magonjwa hatari ya mtandao wa NGO***NO.

Nashukuru mke wangu ananiunga mkono.

Dogo wacha ujinga, nani aliyekuambia kuchepuka ni tatizo la kisaikolojia? Kuchepuka ni wajibu wa kila mtu isipokuwa baadhi ya watu waroho tu wanatudanganya tusichepuke ili wachepuke wao tu huku wakisingizia kuwa Mungu kakataza kuchepuka. Mungu huyo huyo ndiye aliyetuambia nendeni duniani mkazaane, sasa kwanini tujinyime kupeana?
 
Ninakubaliana na kuoa idadi yoyote ya ke but kuchepuka NI kujihatarisha
 
Duh asubuhi tu nakutana na thread matata...ila aisee yako kali..unalala chumba pembeni.... Sasa si utachat hata na housegirl na warembo wa nje na utawatamani upya
 
Kwani aliyekuambia kuwa hiyo 'saikolojia' yako nayo haitogota ni nani?

Mkishazoea hizo chating zitafika tu kikomo.

Kuchepuka ni zaidi ya unavyofikiri Ndugu, kuna wakati unahitaji sauti tofauti, umbo tofauti, harufu tofauti, sura tofauti n.k.

Kuzaliwa Mwanaume ni taabu si kidogo ndugu yangu.
 
Ninakubaliana na kuoa idadi yoyote ya ke but kuchepuka NI kujihatarisha

Unajihatarisha kivipi ukichepuka? Kwa mfano uwe unaishi Zanzibar, Tanga, na Dar mikoa iliyo na wanaume tata ambayo pia ina idadi kubwa ya wanawake. Nani atakayesaidia hao wanawake wasio na wanaume kufarijika? Mungu ametupa tupeane hata uoe wake 7 wapo wengine watataka kusaidiwa dushe, nani atawapa? Tuchepuke tu, hakuna njia nyingine.
 
Unakataa asili yako mkuu kuchepuka ni nature yetu wanaume yani ni sawasawa ukatae kujiita ashrafu ujiite asha huo ni umama
 
Back
Top Bottom