Wanawake, muda gani huwa unachukua kufika kileleni?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,537
4,519
Muda muafaka unaotakiwa kwa mwanamke kufika kileleni ni miongoni mwa mambo yanayoumiza vichwa vya wanaume. Wengi wao wanajiuliza kuhusu muda wa kawaida ambao wanatakiwa kuutumia ili kuwafanya wake zao wafike kileleni.

Licha ya maendeleo ya kisayansi na uwepo wa tafiti nyingi za kitaalamu kuhusu suala hili lenye kuwatia wasiwasi wanaume, imebainika kuwa kila bara duniani linatofautiana na bara nyingine kuhusu muda muafaka ambao wanawake wanahitaji ili kufika kileleni wakati wanapofanya tendo la ndoa na waume zao.

Katika ripoti ifuatayo, utaweza kufahamu wastani wa muda ambao ulioneshwa na matokeo ya wataalamu waliofanya utafiti wa jambo hilo katika mabara mbalimbali ulimwenguni.

5. ASIA

Katika bara la Asia muda muafaka wa wanawake kufikia mshindo wa kilele ni dakika 2 – 5 kwa mujibu wa matokeo ya utafiti uliofanywa katika mataifa ya Japan, China, Korea ya Kusini na Thailand.

4. AUSTRALIA

Kuanzia dakika 5 mpaka 7 ndio kiwango cha wastani ambacho wanawake wanakihitaji katika bara la Australia ili kufika kileleni.

3. ULAYA

Hakuna tofauti kubwa kati ya wanawake wa Ulaya na wenzao wa Australia, ambapo ongezeko ni dakika moja tu. Wao wanahitaji wastani wa dakika 5 mpaka 8.

2. AMERIKA

Bara la Amerika hapa tunakusudia Amerika ya Kusini na Kaskazini kwa pamoja ikiwa ni pamoja na nchi za Caribbean kama vile Jamaica, Panama na nyingine. Wanawake wa Amerika ya Kaskazini wanahitaji dakika 7-10 wakati wale wa Amerika ya Kusini wakihitaji dakika 9- 11 kufika kileleni.

1. AFRIKA

Kwa mujibu wa wataalamu, wanawake barani Afrika wanahitaji dakika 15 ili kufika kileleni, tofauti na wanawake wa mabara mengine.
Wataalamu hao wanasema kuwa hali ya hewa na mazingira vina athari kubwa katika kuwafanya watu kufikia umri wa baleghe na uwezo wa kitandani kwa wanaume na wanawake. Inaelezwa kuwa vijana katika bara la Afrika hufikia kiwango cha baleghe katika umri mdogo ikilinganishwa na mabara na nchi nyingine duniani.

#NdoaMaridhawa #KabugaKanyegeri #FamasiaYaNdoa

HEBU WANAWAKE MLIOMO HUMU HEBU TUJUZENI HOW LONG EXACTLY UNACHUKUA KUFIKA KILELENI UKIWA UNAGEGEDWA...?
 
Mimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja

Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao

Siku hizi imekuwa kinyume wanaume ndo mnakimbia wanawake loh aibuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umekimbiwa na wanaume wa Dar
 
HIYO ID YAKO INA REFLECT HAYO UNAYOYASEMA KULINGANA NA KABILA LAKO...
 
nje ya izo sababu za kitaalamu unaweza jifunza kitu cha ziada, africa wanawake wetu ni wanapitiwa na wanaume wengi katika maisha yao, kitu kinachoathiri chemistry yao!

Tangu lini malaya akafika kileleni..., tuna safari ndefu bado, na ndo mana tatizo la nguvu za kiume linaonekana kubwa sana huku kwetu.

vitabu vitakatifu vilikuwa na maana sana kusisitiza mwanamke kufahamiana na mwanaume mmoja tu.
 
Nadhan zaid nashukuru mi huwa siwahi kukojoa goli la kwanza linaweza kuchukua had dakika 30-40 kutegemea na mood na aina ya demu niko naye ila madem wengi wanaofika kileleln ka kugegedwa lazima uchukue had dakika 20 na tena sio kila style itamfanya afike kila dem anasehem yake na style yake ambayo akikunwa vizuri ndio anafika akama yupo comftable na wewe anaeza kukuambia wapi panamkuna au wewe uwe mdadisi....lakin pia usikariri madem wapo tofauti mwingine ukichezea tu kisim chake kwa muda anafika kilelen, mwingine hata maziwa tu na kitovu anafika lazima uwe mtundu ujue akiguswa wapi anapagawa...

lakin pia utundu wako utaweza kumfanya awahi kifika au achelewe itategemea na ulivyo muandaa na hiyo dem nae ana hisia za karibu ama la,wanawake.wapo tofauti na sio suala la eneo....na kubwa zaid huyo dem ana kufeel anafanya kwa mapenz yake usitegemee unamlazimisha demu,au anakuhonga uchi ili apate kitu flan kama rushwa yaan ili pate kaz au hela akawa na hisia na wewe hafiki kilelen ng'o ata ku actia tu lakin hamna kitu.!..tendo linabebea na hisia zaid kwa mwanamke na kwa mwanaume linabebwa na vitendo zaid.!

NB:hayo fanya na demu wako au mkeo ila kama wa kupita wa twanga kojoa lala usijiumize mengine ni sugu hata uingize miguu!
 
Mimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja

Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao

Siku hizi imekuwa kinyume wanaume ndo mnakimbia wanawake loh aibuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatumia dk ngapi?

Tangu lini malaya akafika kileleni? Punguzeni kugawa nyapu hovyo.
 
Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapandana bila matayarisho.

Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.

Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.

Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.

Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.

Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.

Jamii nyingi (majority) za Kiafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.

Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mchanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.

Nyege ni kunyegezana.
 
Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.

Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.

Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.

Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.

Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.

Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.

Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.

Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mhanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.

Nyege ni kunyegezana.

Pole sana kwa yanayokukuta.
 
Nakuelewa sana sister faiza,upo vizuri,asante kwa darsa.

Kheri ya mwaka mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.

Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.

Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.

Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.

Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.

Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.

Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.

Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mchanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.

Nyege ni kunyegezana.
Shikamoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom