wananchi wengi hawako tayari kuona ccm inatoka madarakani ...it's ok tuwe na wabunge wapinzani lkn sio CCM kutoka madarakani ....tunaitkadi kwamba CCM ndio chama pekee cha kuweza kusimamia muungano na vile vile ni chama kinachoonekana hakina udini ktk macho ya watu km vyama vingine...
KUHUSU PROF. TIBAIJUKA NA MKOA MPYA WA CHATO.
Prof Anna Kajumulo Tibaijuka hawez kupenda uwepo wa mkoa mpya wa Chato.
Baadhi ya kata za Muleba zinazomegwa na kuingia mkoa mpya wa Chato ni sehemu ya nyumbani kwake.
Asingependa awe wa Chato bali wa Kagera/Bukoba[emoji851]. Jambo hili linamuuma...
unaweza kuwa na wazo zuri lkn unakosa busara ya kuliwasilisha ....toa maoni yako vizuri na ktk kuwasilisha kwako usijaribu kuonesha ww ndio upo sahihi sana na wengine ni hovyo #BUSARATAFADHALI
Hapa tuu si ilikuwa kipindi anaingia madarakani awamu yake ya kwanza , km vile mzee JK alivyoanza na hali mpya nguvu kasi mpya akamaliza na maisha bora kwa kila mtanzania na JPM alikuwa anamaliza na Kazi iendelee ambayo Mama Samia anadumu nayo ss baada hapo nae atakuja na ya kwake nyingine...
UKISOMA KWA MAKINI ANDIKO LA NDUGU. JULIUS MTATIRO, LA ATCL NA HASARA YA TSHS. BILIONI 60, NA LILE LA THE SAD AND SHOCKING DAY FOR THE AVIATION; NACHOWEZA KUSEMA NI KUWA, WATANZANIA WOTE, TUSHIKAMANE KULIPIGANIA SHIRIKA LETU KWA NAMNA YOYOTE ILE, TUENDELEE MBELE.
—————————
01. ATCL NA HASARA YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.