Recent content by hawariyu

  1. H

    GE2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

    KWA KILA JAMBO KUNA:- a. Wakati wake B. majira yake c. sababu yake D. makusudi yake Tuache hivyo vitu nne VIAMUE.... kwa kuwa maneno ya Mwanadamu hayawezi kubadilisha Chochote isipokua hivyo vitu vinne.
  2. H

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Wanawake wengi wameathirika sana na kuiga. a. Sidiria za kubana Matiti B. nguo fupi c. Kuvaa vikuku D. Kope za bandia e. Kuchonga nyusi F. Kuongeza ukubwa wa makalio na matiti g. Nywele nyekundu h. Kutoga vitovu, sehemu za siri I. Cheni za viunoni J. Uvutaji wa sigara na madawa. Yote...
  3. H

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Ukitupa jiwe gizani Ukisikia kuna mtu ameguna ujue limempata huyooo......
  4. H

    DC Makonda anakula nchi/maisha

    Ukibishana na mtu asiyejua Unaweza kujitafutia ugonjwa. DC - Kirefu Chake ni district Commissioner. Hilo neno KAMISHNA maana yake ni cheo kinachoteuliwa na Rais. Si kila kitu Unaweza kukifanya ukiwa na cheo Chochote mahali popote na yeyote. kila Kazi Au cheo kina maadili na miiko yake...
  5. H

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Waungwana nisikilizeni niwasaidie mnielewe. Kila afanyacho mtu ni lazima kiwe na asili/chanzo na MAANA YAKE. Usivae tu vazi Au urembo flani eti kwa sababu umenuona mtu fulani kuvaa. a. Cheni Au shanga kiunoni hapa kwetu imezoeleka kama ni urembo lakini nawaambieni ina uhusiano mkubwa sana na...
  6. H

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Arsenal wanapenda tu vyenga, lakini mwisho wa siku yale yale.........
  7. H

    Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    TAKUKURU na UHAMIAJI siyo Vyombo vya ulinzi na Usalama. Magereza Yes.
  8. H

    Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    POLICE WENGI!!! Neno Wengi linaweza kumaanisha UKILINGANISHA na sasa. Ila nakuthibitishia kuwa kipindi cha Mwalimu Jwtz na police walijumuishwa katika TISS.ILA idadi iliyozidi ilikua ni JWTZ. Hali hii haikuwafurahisha TISS wenyewe ambao kwa kipindi hicho walikua wachache, walipopata upenyo...
  9. H

    Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ndg yangu Idawa, hakuna Commando wa kike TZ.
  10. H

    Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ha ha ha U komandoo na ulinzi Au upambe ni vitu viwili tofauti sana.Kumpangia Komandoo awe mlinzi wa Rais ni matumizi ya askari vibaya. Mi nadhani tunahitaji kuwa na ufahamu wa haya mambo kwanza ili tuwe katika position ya kuweza kujadili vizuri. Unamuweka Komando amlinde rais dhidi ya hatari...
  11. H

    Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

    Ukiangalia vizuri ni kama alichanganywa na yule jamaa mlinzi wa usalama wa taifa aliyembana zaidi upande wa kulia.Kimsingi jamaa alikosea sana kwani Wakati wa ukaguzi wa gwaride haruhusiwi mtu mwingine kupita mbele upande wa kulia,zaidi ya rais. baadae nadhani Afande Mwamunyange alimshtua Huyo...
  12. H

    Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mh lukelo sakafu si kweli kwamba kila mlinzi lazima rais amfahamu. Kila askari(police,jwtz,prison), usalama wa taifa wanakula kiapo maalum cha utii kwa Rais na AMIRI JESHI MKUU. Wanaaminika kwa viapo vyao.kufahamika si uhakika wa usalama wa mtu. Kumbuka mtu aliyekaribu yako na anayekufaham kwa...
  13. H

    Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tatizo la nchi yetu tunakosa Sera za kusimama, kila mtu Anakuja na mambo yake kwa Wakati wake kwa jinsi anavyoona.
  14. H

    Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wengi mnajitahidi sana kujieleza kwa kadri kila mtu anavyoelewa, japo wengine wanaongozwa na mitazamo yao binafsi na kisiasa. A. Kiukweli walinzi wa Mh Rais wanatoka TISS. Mpambe ni mmoja tu pale yule aliuevaa nguo za kijeshi anayekaa/kusimama nyuma ya rais B. Kamwe walinzi wa Rais...
Back
Top Bottom