Recent content by Hawaki

  1. Hawaki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisikilize: Mkeo si ndugu yako

    Sawa
  2. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Kinachokusumbua ni ushamba tu si kingine. Ogopa sana ugonjwa wa ushamba
  3. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

    Hoja yako nini mbona hueleweki?
  4. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: KKKT muelewe hili kwanza

    Umeandika uongo hadi shetani anashangaa
  5. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari: KKKT muelewe hili kwanza

    Hiki kifungu kinachosema hivyo umekitoa wapi?
  6. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    Akili za Kvant zilizochangangika na makasiriko zina shida saba.
  7. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane: Chama sio mchezaji wa mechi kubwa

    Wasome Roberto Baggio, David Beckham, halafu useme kama sio wachezaji wa timu kubwa.
  8. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

    OK, hizo mbuga sio shida na wajenge. Cha muhimu ni kujua kuwa kila kitu kina mwisho wake. Hata mbuga kuna wakti utafika zitafifia au kutokuwa deal tena. Mipango mbadala muhimu.
  9. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

    Hivi Majina Serengeti na Ngorongoro yana hatimiliki?
  10. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mfanyabiashara awajengea Mbwa wake Hoteli ya Milioni 80

    Wanalipa sh ngapi per night per room?
  11. Hawaki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

    Achana na London bibie, njoo hapa Boston, US tufanye stara Inshaallah. Kama utaona yafaa kuhama mji nakutaftia kazi nzuri kama au kuliko hiyo hapahapa Boston. Sifa nyengine zooote nnazo na bahati nzuri nami natamani kumpata wa nyumbani. NB: kabla ya hapo nilikuwa na mmorocco ambaye kwa bahati...
  12. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

    Labda kutokee mageuzi ya kiuongozi kama yaliyotokea vinginevyo aende kule alikodhulumu ardhi ya wanakijiji akalime bange tu
  13. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

    Hahaha, Ilolangulu
  14. Hawaki

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Mbeya City | Uwanja wa Mkapa | Juni 16, 2022

    Uchezaji huu wa Simba hautufikishi popote na huyu Matola kumbe ndiye mharibifu wa benchi la ufundi
  15. Hawaki

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amezindua Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji leo tarehe 14 Mei, 2022 Jijini Dodoma

    Kwa kifupi hii tume na bodi yake imeshikilia roho za graduates wetu wengi sana. Wakijielewa na kuachana na vikao ili ku focus kwenye matokeo, nchi inatoka very soon. Kilimo hakitakiwi kiwe cha kubahstisha hata kidogo.
Back
Top Bottom