Acha uongo.Kwa macho utaona ni mbwa Lakin kumbe ni raia ila ndo washageuzwa misukule😎
Kuna tatizo gani kwa mareporter wetu wa habari? Hii habari ilivyorepotiwa huko insta ni kichekesho.Acha uongo.
Kijana ni mfanya biashara wa mbwa. Na mbwa mmoja( baadhi yake) anafikia hadi TZS. 15,000 kwa bei ya kununua kwake ukihitaji. Mbwa wana lishe bora na wana mafunzo.
Mbwa wake amewato mataifa tofauti tofauti ikiwepo na baadhi ya nchi za ulaya.
Thamani ya mbwa wote anao wahudumiaa wanafikia 150,000,000
Kijana ni mjasiriamali na mbwa kwake ni fursa, hivyo haoni hasara kuwapa huduma bora. Na kizuri zaidi ni kuwa Fedha aliyotumia kujenge jengo ni faida kutokana na mauzo ya Mbwa wake.
Kuna tatizo gani kwa mareporter wetu wa habari? Hii habari ilivyorepotiwa huko insta ni kichekesho.
Ndio biashara anayofanya hiyo.Wamuulize pia je hafanyi biashara ya kufunga na kuuza mbwa?
Sikiliza mahojiano kwenye hiyo video hapo juu....hajajenga kutunzia mbwa wake..ni nyumba ya biashara
Naijua ziko 2...kifupi kaijenga kibiashara....au la sijakupataSikiliza mahojiano kwenye hiyo video hapo juu.
=
=
Kisha linganisha na ulicho kiandika.
Nilizani utasema hata wewe unaweza kumbe Diamond? Huyo Diamond ni nani yako vile?Hamna cha ajabu...Hata diamond anaweza .
Hahaa eti Million 15, Nondo ni mjanja mjanja sana hakuna Mbwa anatoa sijui wapi bali anacho fabya ni Udalali, weww mpigie simu mwambie una mbwa unauza uone atakavyo kutafuta na kuwachukua na kwenda kudalaliaAcha uongo.
Kijana ni mfanya biashara wa mbwa. Na mbwa mmoja( baadhi yake) anafikia hadi TZS. 15,000,000 kwa bei ya kununua kwake ukihitaji. Mbwa wana lishe bora na wana mafunzo.
Mbwa wake amewato mataifa tofauti tofauti ikiwepo na baadhi ya nchi za ulaya.
Thamani ya mbwa wote anao wahudumiaa wanafikia thamani ya 150,000,000
Kijana ni mjasiriamali na mbwa kwake ni fursa, hivyo haoni hasara kuwapa huduma bora. Na kizuri zaidi ni kuwa Fedha aliyotumia kujenge jengo ni faida kutokana na mauzo ya Mbwa wake.
Tajiri na mtu maarufuNilizani utasema hata wewe unaweza kumbe Diamond? Huyo Diamond ni nani yako vile?
Acha kuandika kwa Kuona jamaaAcha uongo.
Kijana ni mfanya biashara wa mbwa. Na mbwa mmoja( baadhi yake) anafikia hadi TZS. 15,000,000 kwa bei ya kununua kwake ukihitaji. Mbwa wana lishe bora na wana mafunzo.
Mbwa wake amewato mataifa tofauti tofauti ikiwepo na baadhi ya nchi za ulaya.
Thamani ya mbwa wote anao wahudumiaa wanafikia thamani ya 150,000,000
Kijana ni mjasiriamali na mbwa kwake ni fursa, hivyo haoni hasara kuwapa huduma bora. Na kizuri zaidi ni kuwa Fedha aliyotumia kujenge jengo ni faida kutokana na mauzo ya Mbwa wake.
Haya yapo sana tuu mkuu ila Kuna kama a watanibishiaMambo ya UMUGHAKA haya