Recent content by Hawa yassin

  1. Hawa yassin

    Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Jamani pamoja na hayo yote mimi nauza bidhaa kama Shuka za Uganda,Duvet,Soft blanket,Handbags,Viatu na Pazia Jamani naomba mniungishe,
  2. Hawa yassin

    Nifanyeje ili niache kununua malaya?

    Duuh!!pole sana,km kweli hupendi hii tabia ya kununua malaya basi Anza mwenyewe kuacha halafu ndo uende /kanisani/msikitini,Maana bila wewe mwenyewe kutia Nia ya kuacha ,hata uombewe vipi huwezi acha Anza kuikataa hiyo hali mwenyewe utaweza tu nduguuuuu
  3. Hawa yassin

    Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Ukiona hivyo hao hawajatoka kwa ubavu wako,tulia subiri alietoka kwa ubavu wako Ndani ya huu mfungo wako ,jitahidi kumshirikisha Allah!pia kwa hili. Ramadhan qareem
  4. Hawa yassin

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Hivi nyie mnaokazana eti umri wake umeenda,acheni hizo bhana,miaka 43 mbona ni mkaka wa kawaida kabisa Kweli wapinga Kristo hamtakaa muishe Mwenzetu kaomba ushauri,badala mumpe majibu sahihi mmekazana alikuwa wapi? Ukute hata nyie baba zenu wamewazaa wakiwa na miaka 60 Achani kuwa chanzo cha...
  5. Hawa yassin

    Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Nadhani wanaume wote wangetuelewa hivyo sidhani Kama kungekuwa na kucheat Cha kuongezea ni kuwa Mwanamke usimzoeshe life style ambayo hautaweza kuimudu (sisi huwa tunatumia macho na masikio)kutumia akili tumewaachia nyie wanaume Ndiyo maana mkapewa tahadhari kuwa muishi na sisi kwa Akili Na...
  6. Hawa yassin

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Mbona bado kijana sana,tatizo siyo single mom au ambae hajazaa,tuliza akili,tafuta mwanamke atakae kupenda wewe Kama wewe,Kama una kipato fanya asijue km uko na maokoto Mbona upendo wa dhati upo sana tu. Kijijini kw mm naona utafanya kazi ya kuletea wenzio hao wanawake,maana wanazibukaga vibaya...
  7. Hawa yassin

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kwani hiyo like ukiipata ndiyo inafanya nini? Tujuzane wapendwa ili tuanze kuzisaka LIKES
  8. Hawa yassin

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Ni kweli mitaji ni changamoto kubwa sana kwa tulio wengi, Lakini hiyo siyo sababu yenye mashiko kwa mtu Anaetaka kuwa mjasiriamali(mfanya biashara) Shida kubwa tulizo nayo Watanzania wengi ni uvivu wa kutumia hobi zetu, tunachokipenda ni kuangalia Fulani anafanya biashara fulani na inamuingizia...
  9. Hawa yassin

    Catherine Kahabi afurahia kuungua kwa kitambaa cheupe asema lilikua ni chimbo la Mashoga

    Anafurahi tu,je ? Kajipa gasa dakika 1 ya kujiuliza ni vijana na Wazee wangapi hapo wamepoteza ajira?
Back
Top Bottom