wanajopo niwaulize hivi wale twiga,faru,nyani,tembo alowapeleka nje washarud? akiongea kama msaaafi lkn mh!...ana nyumba thaman dola 700,000 mwenyewe anasema 400,000 ni vijisent au? aache hzo baada ya kuporwa ukubwa kila mtu anamuona mbaya dah kwel vx,gx na lexus zmemchengua..