Halafu Unaenda kusaini Mkataba wa ujenzi wa Bomba la mafuta kutoka Kenya kwenda Tanzania bila ya kuwa na Mwanasheria yoyote hiyo yote mnaona ni sawa kweli kama unataka uwazi ufanye kwa yote
Ufisadi unarudi kwa kasi kila sehemu hapa Tanzania , ujambazi pia yaani inasikitisha ni matukio kila kukicha:-
- Green miles wamerudi tena kujitwalia vitalu vya uwindaji
Majambazi nao wanarudi kwa kasi
wafanyabiashara kodi hawatoi risiti
-Makampuni ya mafuta hayaweki vinasaba kukwepa kodi
Nilishawahi kusema mtu kama Nyerere, JPM, na hata hawa akina Bashiru dunia ya leo si sehemu salama kwao kuishi. Ni sawa ilivyo bahari huwa si sehemu ya kukaa uchafu na badala yake itautema tu. Sasa hawa wema pia dunia si sehemu salama kwao, naturally itakutema tu. Dunia ni sehemu ya maovu na...
Anayeiba anaweza akafanya yote hayo aliyofanya magu kwa muda mfupi ? Basi na aheri kuwa na mwizi anayeifanyia nchi maendeleo kuliko mwizi asiyeifanyia nchi maendeleo , nadhani wewe haupo Tanzania ndio maana unaongea haya , zunguka Tanzamia nzima nadhani hautarudia tena kuogea hizi pumba zako.
Wewe usiwafanye watu wajinga Chama cha wafanyakazi kinauhusiano gani na siasa acha uujinga peleka huko kwa wenzio hukumu ndani sio size yako, unatengeneza maneno huenda hata elimu huna nenda kalime na upambane na maisha yako.
Kipimo cha CORONA chenyewe ni fake na mpaka sasa kesi imefunguliwa na Marekani na Germany kuwa kipimo ni fake sasa na dawa zitolewazo pia hazina uhakika maana waliochanjwa wanaganda damu , please watuache tuishi vyovyote kabisa
Kumbukeni hapo nyuma Zanziba nayo ilisema suala la mafuta na rasilimali zitolewe kwenye Muungano ambapo ilionekana pia ni ubinafsi uliopitiliza na vyote vikatolewa sasa kweli yatafanyika katika kipindi hiki?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.