Tuwe na subira wandugu, me nilienda tanapa last j'mosi kuulizia mchako mzima wakaniambia bado na waliongeza mda wa kupokea appl. na deadline ndo ilikuwa cku hiyo j'mosi.
nina memory card nimeweka miziki mingi tu kama zaidi ya mia lakini kila nikiplay mziki wowote unaimba mziki aina moja. Nini solution yake? Au ni virus!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.