tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
habari zenu! Naomba yeyote anayejua first year kwa mwaka huu wataanza chuo mwezi wa ngapi anijulishe.AHSANTENI
Kwa University of Dar es Salaam wataanza October.habari zenu! Naomba yeyote anayejua first year kwa mwaka huu wataanza chuo mwezi wa ngapi anijulishe.AHSANTENI
Watu kwa kudakia mada! Mleta mada kauliza first year chuo wanaanza lini! Mtu unaanza kutoa ratiba ya vyuo:ud,mzumbe,saut, sua! Kwani hivyo ndivyo vyuo pekee nchini? Na kwanini mmefocus level ya degree?
Kumbukeni kuna vyuo kibao vya certificates, diploma, ufundi n.k!
Tuwe great thinkerz, tusiwe tunakurupuka
Dah! Kama vile ulikuwa kwenye mind yangu! Hiki ndicho chuo kilichonijia haraka haraka, nikajiuliza mbona wachangiaji hawajagusia timetable za chuo cha aina hii?Kweli kabisa. Mfano karibu na ikulu una chuo ma secretary