ndugu kutoka 4m6 na kuanzia diploma maja kwa moja inategemea na koz husika unayotaka
kusomea
kwa
mfao koz zote za uandisi lazma uanzie nta level 4 to 6 so miaka mitatu inakuhusu ha
po
ila kwa wale wa koz zingine za social science kama za biashara ukitoka 4m6 na kwa ufaulu huo ndo unzia diploma
me nilijua utamshauri wazili wako apunguze idadi ya masomo olevel coz mtu anafaulu masomo9 au 7 mwisho wasiku masomo matatu tu ndiyo anayochukua kwenda nayo advance na haya mengine anamwachia nan?
huku ndio kukalilikwenyewe ili mtu afaulu na ndo mana mitihan itaendelea kuvuja kila mwaka
sasa ww...
wewe ulitaka waanzie na ds ngap?
je huo ni ufaulu au sio ufaulu?
na ndoo maana mfumo ukamwelekeza apitie long pass kuanzia cert to diploma je ww ulitaka aende advance
na je unajua maana ya kuferi?
hzo ds nne ni pass yaan dv4
na kuferi ni zero kabisa
sasa kuna watu wenye upeo mdogo wanachanganya...
tafuta cv yake usome alafu uje tena
usiwe unaongea tu
nikuulze tena diploma na form6 wakiwa ktk coz moja chuo wakadisco mwaka wa kwanza au wapili
je wakilud mtaan nani atakufa njaa?
kwa hayo maswali niliyojupa sample zake ninazo zaid ya tano as good research just want to be
alaf nan...
suala la kupewa max za bule na kupandishiwa gpa lipo hadi university nina ishuhuda wa hali ya juu na sample za kutosha juu ya hili
alaf suala la kudisco lipo waz hata kwa waliotokea form6
kwa tatizo hili kwann usimshauri wazili wako wa elimu kuwe na mtiana mmoja utungwao na tcu?
najua umeongea...
advance upige govt school na co private
coz icho pia ndo kigezo chao cha kupata mkopo
ili upate mkopo inatikiwa olevel na advance uwe umepitia school gvt
hapa chuon wapo wanafunz kibao wamekosa tena unakuta kasoma pcm pcb au pgm na wanaaply coz za uandisi ukiulza kisa bod wanakwambia et olevel...
advanced diploma
mbona iko kimataifa
ukienda german, uk, usa, hispain, france nk mfumo wa diploma na advanced diploma upo so msikalili na degree wakat waliowaletea elimu wanatumia hiyo mifumo na hpo mpaka saaa
ila ikumbukwe tu si nchi zote zina mfumo wa long pass kama wa form6
mfano kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.