NACTE iwe na mitihani kama NECTA

NACTE iwe na mitihani kama NECTA

Aisee wewe inaonekana ulikuwa mvivu darasani, lakini pia kama ndiyo uko cheti au foundation maana naona unaogopa mtihani wa pamoja. Sasa kwanini uogope wakati kwa sekondari imewezekana, kumbuka mwanafunzi wa shule ya kata isiyo na waalimu wa sayansi au waalimu wa kutosha wanafanya mtihani moja na wale wa Tusiime, marian, feza nk kwanini wewe unayechukua cheti hombolo usifanye mtihani moja na wa magogoni au cbe? Naona unafurahia sana kubebwa kwa wanafunzi jinsi inavyofanyika hivi sasa kwenye hivyo vyuo vyenu.
Laiti ungelijua Chuo nilichosoma nadhani usingeliandika huu utumbo wako! "Nimesoma |HomeOfEngineers|DIT"
 
suala la kupewa max za bule na kupandishiwa gpa lipo hadi university nina ishuhuda wa hali ya juu na sample za kutosha juu ya hili
alaf suala la kudisco lipo waz hata kwa waliotokea form6
kwa tatizo hili kwann usimshauri wazili wako wa elimu kuwe na mtiana mmoja utungwao na tcu?
najua umeongea bila ya kujua kaz ya nacte na tcu
aya kwanza nataka kujua upo mwaka wang?
kwa ushauri sikunyngne usiongee ujinga wako kwan utawatukama weng ikiwemo na kiongoz wako wa nchii coz yeye ni mmoja wapo wa diploma je alidisco?
usiongee ushuzi sikunyingine sawa mdogo wang? haya nenda ukalale
 
mkuu wa kaya alifaulu vzr o*level hakufel,, akaenda kusoma form 6 na ualimu kwa pmj,, na alifanya mthn wa necta....fuatilia..
 
tafuta cv yake usome alafu uje tena
usiwe unaongea tu
nikuulze tena diploma na form6 wakiwa ktk coz moja chuo wakadisco mwaka wa kwanza au wapili
je wakilud mtaan nani atakufa njaa?
kwa hayo maswali niliyojupa sample zake ninazo zaid ya tano as good research just want to be
alaf nan aliyekwambia anayepitia diploma ameferi olevel?
mm nmetoka na dv one na ckuona haja ya kupitia alevel
so usikalilil dogo wakat nchi km german uk china usa wamewejza mno ktk vyuo vya elimu ya kat ktk kuzalisha watendaj na technolojia ya hali ya juu
digrii co mtendaj hata kdgo hasa hz fan zetu za engineering wanajua theory tu but ualisia hawba
nmeptia dit kuanzia diploma to digrii
sasa nikujuze tu au nikuibie sili ktk company nifanyayo kaz wakiitaj watu wa digrii weng wachukuliwao ni wale walioptia dploma coz ndo wanaojua kaz kiualisia
kwan hakuna kampuny inayotaka mfanyakaz butu
weng walioptia 6 wanaongea sana but ukimpa project aifanye yeye km yeye hamna kitu shingai coz wameandaliwa kinadhalia ili waweviongoz ktk taaluma husika
swali linakuja utamuongoza vp mtu ikiiwa kaz uijui kuifanya kwa ualisia? pia ninayosample hii na experience coz nishawai simamia usahili na good performance ikiwaendea wale walioptia diploma hasa dit,must, atc , nit nk
pia nilishuhudia max zikienda kwa mtu wa dit baada ya kupambana na mtu wa coet(udsm)
hv vitu nilisimamia mm na ving boss wang
so usiongee dogo kwanza malza chuo alaf njoo interviwe sio unasoma mikalatas na kukalili ili ufaulu ukajiona mkali tunatka ulichonacho kichwan
over
 
Mtoa mada Mimi sioni Kama Kuna sababu za kufanya hivyo kwa ajili ya kukomesha udanganyifu vyuoni maana hata NECTA watu wanafanya udanganyifu kwa sababu za kibiashara , Hilo liko wazi...

Hata hivyo system iliyopo iliwekwa Na wasomi pia, kwa hiyo ustake kutuaminisha kuwa huyo ndalichako wako ndo msomi pekee anayeweza kufanya Kila kitu kinachohusu elimu..!!
 
watoke nje waone hii elimu ya kati inavyonunuliwa kwa hela na wanafunza kwa kike kuvuliwa bikini zao. Yaani ni balaa tupu hii elimu inahitaji usimamizi wa hali ya juu kama NECTA tu la sivyo wanafunzi waonwatapenya hivi mpaka wawe degree, masters na PhD za hovyo bila kuwa na kitu kichwani.
Kama hii ndio hoja yako ya kutaka kuwe na mtihani wa pamoja basi inabidi hata TCU wawe na mtihani wa pamoja!

Mtu anapokuwa chuoni tayari tunaamini ni mtu mzima na anajua nini anafanya na kwa malengo yapi,kama anahongwa GPA hilo atalijua huko atakakoenda kuajiriwa au kama ataajiriwa na baba yake ili akawe mzigo kwa baba yake!

Hayo unayotaka tutayafanya kwa watoto wa NECTA ambao tunaamini bado hawajui wanachotaka!
 
Vyuo vyote vilivyo chini Ya NACTE vinamitaala Ya NTA.(NATIONAL TECHNICAL AWARD ) Kifupi kuna uniformity. Ndo maana kozi yamwaka mmoja wanaita NTA LEVEL 4.au basic certificate... Miaka miwili ni NTA LEVEL 5 au certificate na kwa miaka mitatu ya Masomo wanaita NTA LEVEL 6 au diploma.. Na mitihani inasimamiwa na nacte wakishirikiana na Wizara husika.
Profesa alikuwa sawa tu... Ila na wewe unataka kumtafasiri wala si kumuelewa.
 
You are totally wrong....NECTA no mfumo mbaya wa kutahini mwanafunzi,,,is only good for promotion,/selection of students for further studies!!! It measure skills and can't measure other cognitive domains!! If you want your education then you be so wrong!! Let's be positive ...wanaume kuwafikiria Dada zetu in negative mind ni udhaifu sana na vilaza ndiyo ufikiria hivyo na ndiyo maana wanawake wameanza kutupita kwenye kielimu!! Unakuta mtu ana GPA ya pass na kwa masup kibao halafu anajifariji eti yangu ni halisi siyo ya chupi,,,,,,inachekesha sana!!! Higher GPA is for smart people!
 
Tatizo la mfumo wa nacte linajulikana,, ndio maana diploma ya elimu na certificate mama ndalichako amezitoa hrk nacte na kuzirudisha necta km ilivokua awali, lkn vp hz cerficate na diploma zingine? nazo zinastahili kuwa na ubora. sio vyuo vyote hvko mkn, lkn vingi udanganyifu ni mwingi.
 
tafuta cv yake usome alafu uje tena
usiwe unaongea tu
nikuulze tena diploma na form6 wakiwa ktk coz moja chuo wakadisco mwaka wa kwanza au wapili
je wakilud mtaan nani atakufa njaa?
kwa hayo maswali niliyojupa sample zake ninazo zaid ya tano as good research just want to be
alaf nan aliyekwambia anayepitia diploma ameferi olevel?
mm nmetoka na dv one na ckuona haja ya kupitia alevel
so usikalilil dogo wakat nchi km german uk china usa wamewejza mno ktk vyuo vya elimu ya kat ktk kuzalisha watendaj na technolojia ya hali ya juu
digrii co mtendaj hata kdgo hasa hz fan zetu za engineering wanajua theory tu but ualisia hawba
nmeptia dit kuanzia diploma to digrii
sasa nikujuze tu au nikuibie sili ktk company nifanyayo kaz wakiitaj watu wa digrii weng wachukuliwao ni wale walioptia dploma coz ndo wanaojua kaz kiualisia
kwan hakuna kampuny inayotaka mfanyakaz butu
weng walioptia 6 wanaongea sana but ukimpa project aifanye yeye km yeye hamna kitu shingai coz wameandaliwa kinadhalia ili waweviongoz ktk taaluma husika
swali linakuja utamuongoza vp mtu ikiiwa kaz uijui kuifanya kwa ualisia? pia ninayosample hii na experience coz nishawai simamia usahili na good performance ikiwaendea wale walioptia diploma hasa dit,must, atc , nit nk
pia nilishuhudia max zikienda kwa mtu wa dit baada ya kupambana na mtu wa coet(udsm)
hv vitu nilisimamia mm na ving boss wang
so usiongee dogo kwanza malza chuo alaf njoo interviwe sio unasoma mikalatas na kukalili ili ufaulu ukajiona mkali tunatka ulichonacho kichwan
over
Jifunze kuandika vizuri basi ili tukuelewe we mwandisi au ndo kusema unajua sana hesabu kuliko maandishi,punguza kuweka vikoromboizo vya watoto wa digital katika uzi wako,nikirudi kwenye mada tofautisha FTC na mifumo mingine ya kusoma kupitia vyuo vingine hivi ambapo wengi wanaanzia vyeti kigezo ikiwa ni kuwa na D 4 katika matokeo ya kidato cha 4.
 
wewe ulitaka waanzie na ds ngap?
je huo ni ufaulu au sio ufaulu?
na ndoo maana mfumo ukamwelekeza apitie long pass kuanzia cert to diploma je ww ulitaka aende advance
na je unajua maana ya kuferi?
hzo ds nne ni pass yaan dv4
na kuferi ni zero kabisa
sasa kuna watu wenye upeo mdogo wanachanganya kati ya div4 na zero
zero haweZ kwenda diploma wala certificate
 
mitihan hata ya necta inavuja pia
jalibu kumtafuta yule aliye malza form6 mwaka huu
atadhilisha hii
 
Nashauri pia Diploma na Certificate wavae sare km wanafunzi wa Sekondari ili kuonesha usawa
 
Mwandishi huo mtihani wa pamoja unaouzungumzia kwanini usiombe kupelekwa levo ya Degree,Mastaz & PHD kama kweli una nia njema na Elimu yetu...

Maana hizo levo nazo huzalisha Vilaza..

Nimeamua kuzungumza hili kwa kuwa nimeliona na kushuhudia wasomi wengi wa levo ya Degree ambao ni vilaza...

Ila kama unaona vilaza wako Diploma na Cheti peke yake bila shaka unahtaji Panado na Maji vuguvugu mwanangu..
 
Umeandika ujinga.
Tangu lini vyuo vikadahili wanafunzi wa diploma? NACTE ndio wanadahili wanafunzi wa diploma na certificate.
Pili kuna baadhi ya course hasa za afya wanatungiwa mtihani na NACTE.
 
me nilijua utamshauri wazili wako apunguze idadi ya masomo olevel coz mtu anafaulu masomo9 au 7 mwisho wasiku masomo matatu tu ndiyo anayochukua kwenda nayo advance na haya mengine anamwachia nan?
huku ndio kukalilikwenyewe ili mtu afaulu na ndo mana mitihan itaendelea kuvuja kila mwaka
sasa ww utashangaa mwanafunz kudahiliwa kusoma cert kwa d4? coz me niljua degree kumbe chet ndo unawaka?
kiufup mfumo wa tz wa elimu sio mzuri na unatakiwa ulekebishwe na sio diploma wala chet
suala la diploma lipo kimataifa
 
zmn udsm na muhimbili hl usome degree lzm o*level uwe na **C** tatu, means una sifa za kwenda a*level bt umeamua kwenda dip! hii irudi itakua tiba.
 
ha ha ha
udsm wenywe cku hiz nao wanato masomo ya chet kwa kwa sheria na ict
 
samahani lakini kama ntakuwa kinyume na wewe, unachokizungumza ni sahihi kabisaa lakini tuangalie haya maswala ya kufanya mitihani katika vyuo yana matokeo hasi kwasababu kwa mfano, ukimpima mtu anayesoma CO au Nursing au ualimu kwa njia hii huoni kwamba huyu mtu anaweza kuwa vizuri darasani tu ila kwa vitendo akawa sifuri? pia hata kama wanataka kweli hii mitihani iwepo ni lazima wawe tayari kuweka wakufunzi wakutosha na vifaa vya kutosha mavyuoni kuepusha massive failure ambayo inaweza kutokea kutokana na baadhi ya vyuo kukosa wakufunzi wakutosha
 
Back
Top Bottom