Haya kapiganieni maisha ya wengine huku yenu yakizidi kudidimia, ukiandama ukaumizwa mwanasiasa unayemshabikia ataishia kukemea ili aonekane kasema na aongezeke hadhi yake kiumaarufu, hadi adhaminiwe na wageni.
Ila wewe na madonda yako au ulemavu unaoupata ni wewe na familia yako, hata mia...
Gen Z wana matatizo yafuatayo:
1: Ujuaji mwingi na kujiona wapo sahihi kwenye kila kitu.
2: Hawashauriki hata kama mahali hawapo sahihi
3: Hodari kufuata mkumbo wa jambo fulani pasipo kutafiti na kuujua ukweli halisi.
Ukiona hivyo jua sokoni bado ni mengi, wakulima wenzako nao wamelima na kuleta muuze, sasa mnajikuta mmeongeza mzigo na bei inashuka. Bidhaa ikiwa na uhitaji mkubwa ndiyo inapanda bei, ikiwa na uhitaji mdogo kutokana na wingi nayo inashuka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.