Kuna uhusiano gani nchi za kiislamu na machafuko

Kuna uhusiano gani nchi za kiislamu na machafuko

Omnilabeltech

Senior Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
100
Reaction score
171
Wakuu za muda huu.

Nimekaa nimejiuliza tu leo Tanzania yaliyo tokea mashekh wengi walikaa kimya waandamani walio tetea haki za watu na utekaji kuupigia kelele kua haufai ni wakristo haya twende nchi zenye machafuko nyingi ni dola za kiislamu .

Nb:waislamu wanamsemo wao ni dini ya amani
 
Kwani ile salamu ya kiarabu inayotumika sana na muslims ya
Asalam Aleykhum ina maanisha nini kama sio Amani iwe nawe?
 
Wakuu za muda huu.
Nimekaa nimejiuliza tu leo Tanzania yaliyo tokea mashekh wengi walikaa kimya na kutangaza kuchinja waandamani walio tetea haki za watu na utekaji kuupigia kelele kua haufai ni wakristo haya twende nchi zenye machafuko nyingi ni dola za kiislamu .

Nb:waislamu wanamsemo wao ni dini ya amani
Kabla ya kuanza kujadili, FUTA/DELETE kwanza kauli ya kusema kuwa mashehe walitangaza kuchinja watu???
Kwa hiyo mtu akivaa kanzu akasema kitu ni Waislam wamesema?

Nirudi kwenye mada
Machafuko mengi yanayotokea (japo siyo yote) yanatengenezwa na kufadhiliwa kwa lengo la kuudhoofisha Uislam. Give a dog a bad name and hang him; ndicho walicho kifanya kwa Libya.
Sehemu nyingi zenye hayo machafuko, zinafadhiliwa silaha za kisasa kabisa na hela nyingi tu inayotumika kuwalipa vijana wanaojiunga ni ileile....
Osama Bin Laden, aliwahi kusema, aliandaliwa kwa kazi hiyo hiyo; na alipowasaliti waliomuandaa; walishindwa kumkamata kwa muda mrefu kwa kuwa walimuandaa wenyewe hivyo alijua mbinu nyingi.
Subiri miaka 25 Ijayo anayewafadhili akishaporomoka kiuchumi....Mungu akitupa maisha tutapata fursa ya kujua mbivu na mbichi.
 
Kabla hujauliza hivyo, jiulize ushwwahi ona nchi ya kiislamu ina machafuko wao wenyewe bila kuwepo mkono wa mgeni hasa Marekani au Israel.

Kwani mfano syria rais alivyo kimbia madaraka uliona ukwasi alokua nao? Utajiri mkubwa ndo haya yanayo tokea Tanzania baadae kikija kunuka watasingizia marekani kwa sababu tu serikali zinashindwa kua responsible kwa lawama za wananchi.
 
Marekani na Urusi walihusika kitambo
 
Kabala ya kuanza kujadili, FUTA/DELETE kwanza kauli ya kusema kuwa mashehe walitangaza kuchinja watu???
Kwa hiyo mtu akivaa kanzu akasema kitu ni Waislam wamesema?
au labda niseme; Diwani akitoa kauli, hiyo ni kauli ya Nchi?
HII INAONESHA JINSI TULIVYO NA KUNDI LA WATU WALIO KWENDA SHULE ILA HAWAJAELIMIKA

Je kuna kauli ilitoka Bakwata kuwakemea hao mashekh na kutoa msimamo wao?
 
Kabla ya kuanza kujadili, FUTA/DELETE kwanza kauli ya kusema kuwa mashehe walitangaza kuchinja watu???
Kwa hiyo mtu akivaa kanzu akasema kitu ni Waislam wamesema?

Nirudi kwenye mada
Machafuko mengi yanayotokea (japo siyo yote) yanatengenezwa na kufadhiliwa kwa lengo la kuudhoofisha Uislam. Give a dog a bad name and hang him; ndicho walicho kifanya kwa Libya.
Sehemu nyingi zenye hayo machafuko, zinafadhiliwa silaha za kisasa kabisa na hela nyingi tu inayotumika kuwalipa vijana wanaojiunga ni ileile....
Osama Bin Laden, aliwahi kusema, aliandaliwa kwa kazi hiyo hiyo; na alipowasaliti waliomuandaa; walishindwa kumkamata kwa muda mrefu kwa kuwa walimuandaa wenyewe hivyo alijua mbinu nyingi.
Subiri miaka 25 Ijayo anayewafadhili akishaporomoka kiuchumi....Mungu akitupa maisha tutapata fursa ya kujua mbivu na mbichi.
kama hamjamkemea. basi mmekubaliana nae. Hawezi akavaa kanzu yenu akaongea nyie mpo kimya, awasemee si ndio
 
kama hamjamkemea. basi mmekubaliana nae. Hawezi akavaa kanzu yenu akaongea nyie mpo kimya, awasemee si ndio
kanzu ni vazi tu, kama vazi jingine. Hapo uganda tu wana vaa kanzu kama vazi
Na sheikh maana yake ni kiongozi sasa, unatakiwa ujue ni kiongozi wa nyumba kumi, kijiji, kata, wilaya , mkoa au taifa. kama hujui ni kiongozi wa ngazi gani; unapokea kauli yake kama ni nzuri lakini kama ni sio nzuri unaipuuzia
 
kanzu ni vazi tu, kama vazi jingine. Hapo uganda tu wana vaa kama vazi
Na sheikh maana yake ni kiongozi sasa, unatakiwa ujue ni kiongozi wa nyumba kumi, kijiji, kata, wilaya , mkoa au taifa. kama hujui ni kiongozi wa ngazi gani; unaichukua kauli yake kama ni nzuri lakini kama ni mbaya unaipuuzia
tupo Tanzania, vaa kanzu na kibaraka shee, nenda kanisani ukapokee kwa wakatoriki, wakikushangaa sema hilo ni vazi tu, useme huo mfano unaonielimisha hapa
 
Back
Top Bottom