Recent content by hashy1310

  1. hashy1310

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sidhani kama wameruhusu, ngoja wadau wajee
  2. hashy1310

    Najaribu kufikiri mazuri ya Magufuli

    Mazuri mistari miwili,mabaya kurasa nzima
  3. hashy1310

    UDOM na Bachelor of Science in Biology

    Wewe wasema, huyo wa Biology ana first class. Uhakika wa ajira upo kwa mwenye mtu wa kumshika mkono. Ni jamaa zangu hao wamemaliza Udom hapo 2013
  4. hashy1310

    UDOM na Bachelor of Science in Biology

    Kuna mwingine alisoma BSc in Physics sasa hivi ni mwalimu kwa cheti cha Diploma aliyoipata hapo awali
  5. hashy1310

    UDOM na Bachelor of Science in Biology

    Kasoma BSc in Biology
  6. hashy1310

    UDOM na Bachelor of Science in Biology

    Sure mkuu, me nna jamaangu anasota mpaka sasa. Hazifai hizi kozi
  7. hashy1310

    Tetemeko dogo la Ardhi(aftershock) latikisa tena Bukoba usiku Sept 11, 2016

    Poleni sana mkuu, Tunawaombea Mungu awanusuru..INSHAALLAH
  8. hashy1310

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mwanza(Sengerema) nije Dodoma Municipality Idara Sekondari 0757 397 397 0652 013 393
  9. hashy1310

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mwanza wilaya ya Ilemela nije Morogoro (idara ya sekondari) ni PM kama upo serious
  10. hashy1310

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwanza wilaya yoyote au mjini tu?yupo mtu sengerema,kuna umeme na maji pia kama upo tayari pm au andika kupitia email.... harithmahfudh@gmail.com
  11. hashy1310

    Airtel kama mnatumiwa ili taarifa zetu zisomwe mseme

    hapo kwenye ntakomaa tu ndipo wao wanapopataka, wanajua mshatekwa na mtandao hamtojinasua katika huo mtego hata iwe 2k per mb
  12. hashy1310

    Natafuta s2 au smartphone yeyote nzuri nina 200,000/=Tshs

    Nina Sony Experia V3+ nipe 280,000/=
  13. hashy1310

    Toyota duet

    weka picha ndugu
Back
Top Bottom