Leo ni Februari 22, 2022, tarehe ambayo pia unaweza kuiandika 22022022. Sasa maajabu ya tarehe hii ni kwamba, unaweza kuisoma kuanzia nyuma kwenda mbele na ikabaki na maana ileile, kwa Kiingereza inaitwa Palindrome Date.
Si hivyo tu, bali tarehe ya leo, pia inaweza kusomeka vilevile endapo...
Kwa hulka yake, hawezi kuresign! Kama aliweza kumtandika rungu la kichwa hadharani mwenzake kwenye uchaguzi, hawezi ku-do the needful! he is here to stay otherwise wamng'oe!
Mabeberu hawana msaada wowote? Are you serious mkuu? Mabeberu hawakwepeki, ukiwakwepwa kwenye mipira ya kiume utakutana nao kwenye vidonge vya ARV! Tukubali kwamba walishatuzidi mbali sana, hatuwezi kushindana nao wakati tunawategemea kwa almost kila kitu!
Baada ya kutusumbua kwa miaka 5 kwa kesi ya uongo ya uchochezi, DPP ameifuta kesi hiyo. Lakini bado kuna kesi nyingine 5 za uongo dhidi yangu & mamia nyingine dhidi ya viongozi, wanachama & Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe. Zote hizo zinatakiwa kufutwa bila masharti yoyote- Tundu Lissu
After five...
Bila shaka wanasheria watakuja kutudadavulia, ninachoelewa ni kwamba zipo sababu nyingi zinazoweza kumfanya DPP kuamua kufuta kesi ikiwa ni pamoja na ushahidi uliopo, akiona hii kesi serikali itashindwa mahakamani.
Busara ni kuifuta ili kupunguza idadi ya kesi serikali inazoshindwa ambayo...
Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru.
Mbali na Lissu washtakiwa wengine walikuwa ni Mhariri wa Gazeti la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.