DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

Ni jambo jema!

Tundu Lisu na familia yake warudi nyumbani sasa!
TUKUKUMBUSHE INCASE umesahau au kwa kuwa tu umeamua kujitoa ufahamu wako, kwamba;

1. ----- Bado kesi tano, hii iliyoondolewa leo ni moja kati ya 6 anazokabiliwa nazo TL

2. ----- Put in your mind that, Tundu Lissu yuko uhamishoni si kwa sababu ya kesi hizo. Ni kwa sababu serikali ya Tanzania chini ya aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati John P. Magufuli na sasa huyu Chief Hangaya wanaitafuta roho yake, wanataka kumuua kwa sababu ya kuikosoa na kuipinga serikali ya CCM..!!
 
Tundu Lissu ameniudhi sana.
Yaani serikali inaonesha uungwana kwa kufuta kesi,yeye badala hata ashukuru kwa hilo,ana tweet na kuiamrisha serikali ifute na kesi nyingine.

Hivi ukiandika kiungwana na kuomba utakuwaje?Mbona mnakuwa na ujeuri wa kishamba sana!
 
Post of the week, nakubaliana na wewe 100% umenena vema
Mabeberu hawana msaada wowote? Are you serious mkuu? Mabeberu hawakwepeki, ukiwakwepwa kwenye mipira ya kiume utakutana nao kwenye vidonge vya ARV! Tukubali kwamba walishatuzidi mbali sana, hatuwezi kushindana nao wakati tunawategemea kwa almost kila kitu!
 
Sikuwa naona ni kwa jinsi gani serikali ingeweza ku-sustain kwa muda mrefu kupitia haya makesi-Amsterdam atawaharibia image sana kama alivyofanya last year kupitia haya makesi ya ajabu ajabu
Amsterdam alimuharibia sana Lisu kwenye uchaguzi mkuu
 
Back
Top Bottom