Bwana dmkali,
sikubaliani na maneno uliyo andika, maana hayana ukweli aina yoyote. Kwenye point no moja, mbili, tatu na nne. For point namba tano, ni watuwa wa kihndu ndio wanachoma mwil wa marehemu na kisha kuimwaga kwenye mto au bahali. hii utamaduni wa kuchoma mbona iko kwenye jamii nyingi tu...
Pale Ngorongoro kuna sehemu inaitwa shifting sands, ambapo mchanga unahama. Inawezekana kama madai yao Olduvai George imehama. Mimi nilitembelea Oldupai George ndio jina halisi ipo Tanzania kabisa ndani ya mipaka. Naweka picha za Oldupai George na vitu vya kutegemea kuona pale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.