Wassira afichua kilichomkera mpaka kufikia hatua ya kutaka kumpiga mpiga picha

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,932
5,563
Heshima kwenu Wana JF
Kulikuwa na mjadala mzito kuhusu nini kilimkuta Wassira juzi mpaka kutaka kumpiga mpiga picha wa gazeti la mwananchi.
Wassira mwenyewe amefunguka
Screenshot_2016-02-26-08-24-13.png
 
July,2015 alimchana kwa Ngumi ya kichwa Mwnykt wa CCM mkoa wa Mara wakiwa kwny kura za maoni sipati picha Mzee wa Miaka 70+ anakuwa mkorofi hivi alipokuwa age ya ujana sijui alikuaje?
Makongoro Nyerere yuko form One Wassira ni RC Mara!!! Mpaka leo Makongoro kaanza kuzeeka Mzee Wassira yuko bize kwny Corridor za mahakama kutaka kurudi Bungeni!!!
Hili limenishangaza kuliko la Chenge kupambana na Ufisadi!!
 
kwani yeye hataki kuwa RockStarr, wengine wanatamani sana hadi wanabeba waandishi wa habari mgongoni
 
Huyu mzee anaonekana ana shida ya
kisaikolojia.... asaidiwe jamani.... nilimshangaa alivo kuwa anananga upinzani wakati yeye aliisha hama ccm na kuwa mbunge kupitia NCCR..... ana kanati kamelegea nadhani anahitaji msaada wa tiba hospitalini.....
 
Back
Top Bottom