Una bahati Tanzania haina uraia pacha kwahiyo wewe unaukana tu uraia wa Tanzania unachukua uraia wa nchi yoyote unakua raia na unakoma kujitambulisha kwamba wewe ni mtanzania,
Utajitambulisha tu una asili ya Tanzania na penyewe sio lazima sana, sasa kwanini ujute?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.