Recent content by haruni haruni

  1. H

    JamiiForums Tanzania Maeneo yapi ni mazuri kwa kupanga yaliyo karibu na chuo cha (NIT)?

    Aaaaah kwann kiongoz
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Dar es Salaam

    Mie naitaji maeneo tulivu yasiyokuwa na population kubwa ya watu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Maeneo yapi ni mazuri kwa kupanga yaliyo karibu na chuo cha (NIT)?

    Mbona hapo watu wanasema Kuna wauni wauni wengi
  4. H

    JamiiForums Tanzania Maeneo yapi ni mazuri kwa kupanga yaliyo karibu na chuo cha (NIT)?

    Guys naomba kuulizia maeneo mazuri ya kupanga ambayo yapo kalibu na chuo Cha National institute of transport (NIT)
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu ameshindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano wala chuo hivi second selection bado zipogo kweli waungwana

    Wakubwa naombeni msaada wa shule kunitajia shule za advance ambazo ada yake kwa bweni isiwe zaidi ya 1000000
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye iii ya 25 kwa alama civ D,hist C,kisw C,geo D,Engli C,bio D,Math D anaweza kwenda kidato cha tano shule ya serikali

    Wakubwa natafuta shule nzuri ya private kwa advance ambayo ada yake haizidi 950000 ya bweni
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu ameshindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano wala chuo hivi second selection bado zipogo kweli waungwana

    Kijana wangu ameshindwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano wala chuo hivi second selection bado zipogo kweli waungwana?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Je, huyu Mtu anaweza kwenda HGE kwa ufaulu huu?

    Hivi kwa ufahuru wa hist C, kisw C, geo D ,civ D, engl C,bio D,math D division 3 ya 25 je huyu mtu anaweza kwenda kidato cha tano kwa combination ya HGE kwa shule za serikali kwa mwaka wa 2020 kama ni wa kiume.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye iii ya 25 kwa alama civ D,hist C,kisw C,geo D,Engli C,bio D,Math D anaweza kwenda kidato cha tano shule ya serikali

    Naomba kuuliza hivi wanafunzi wa kidato cha tano waliye faulu upangaji wao wa shule utokaga mwezi gani hasa kwa wanafunzi wa mwaka 2019/2020 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye iii ya 25 kwa alama civ D,hist C,kisw C,geo D,Engli C,bio D,Math D anaweza kwenda kidato cha tano shule ya serikali

    Sifa za kujiunga na kidato cha tano mwaka 2019/2020 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye iii ya 25 kwa alama civ D,hist C,kisw C,geo D,Engli C,bio D,Math D anaweza kwenda kidato cha tano shule ya serikali

    Hivi selection za shule kwa wanao kwenda kidato cha tano huwa zinatoka mwezi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom