Mwenye iii ya 25 kwa alama civ D,hist C,kisw C,geo D,Engli C,bio D,Math D anaweza kwenda kidato cha tano shule ya serikali

Zamani angeweza kuenda kabisa bila mjadala

Sasahivi sidhani labda

1. kwa bahati na muujiza

2. Kuenda kwa kuchaguliwa shule duni kabisa serikalini kujaza nafasi bora liende

Sababu ya msingi nikwamba mitihani imekuwa rahisi kiasi kwamba div I na II zimetamalaki
 
c tatu mkuu ndio kigezo cha kufanya mtihani form six .huyu anavyo
 
Zamani angeweza kuenda kabisa bila mjadala

Sasahivi sidhani labda

1. kwa bahati na muujiza

2. Kuenda kwa kuchaguliwa shule duni kabisa serikalini kujaza nafasi bora liende

Sababu ya msingi nikwamba mitihani imekuwa rahisi kiasi kwamba div I na II zimetamalaki
acha kabisa ndg,yawezekana ulisoma/kufanya mtihani nyuma ya mwaka 2019.

kwa waliofanya mtihan mwaka jana kwa matokeo hayo,huyo kajitahid sana na si ajabu wakamchukua-ule mtihan haukuwa rahisi kiasi cha kusema "kupata division 1 or 2 ni simple",haikuwa rahisi wa kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom