Fatilia historia ya tohara
Ilianzia israel na nia yake ilikuwa ni kuwatofautisha wana wa israel na wa ulimwengu mzima ilikuwa ni mfano wa nduwi
(ni agano kati ya wana wa israel na Mungu)
Mi naamini kila mtu mwenye ndoto kubwa kubwa, hupitia hio stage.
Hio ni stage ya majaribu
Maandiko yanasema kila mtu hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe.
Kwanza, ushinde moyo wako usikubali kuendeshwa na mapenzi ya moyo, maandiko yanasema (moyo hu mdanganyifu kuliko vitu vyote)
Pili...
Binafsi hii ilinitokea ingawa nilistuka mapema, wanakuunganisha uingie telegram channel, wanatuma task za ku subscribe youtube kila subscribe ni buku, ila kuna task ya ku invest hio mnatuma ela afu mnarudishiwa pesa mara mbili, bas hawa jamaa wame set bots za telegram kibao zinatuma screenshot...
Umeumia polee kwa makosa uliyofanya,
Pole kwa makosa yanayofata hakika utaumia mara 10 zaidi usipobadili mawazo. Mganga ni mwanadamu kumbuka anategemea mashetani, shetani hatoi kitu bure
Wanasema some stories end without goodbyes,
Personally nmekua nasubir text ya mtu kwa miaka 5[emoji1] najua harudi ila ndo hivyo, but u never know mshkaj atarud siku
Kosa namba moja ni kujiona una akili na kuwaita wengine vilaza bila kujua Mungu amepanga nini katika maisha yako
Kuna andiko kwenye biblia linasema
Mathayo 23
12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa.
Ukiishi maisha ya kujikweza siku zote utavunjika moyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.