Recent content by Harpazo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Uelewa wangu kuhusu Mungu na shetani ninaupata kwenye Biblia, siwezi kusema Mungu alikuwa anatafuta suluhisho, wala kwamba alitusukumia sisi wala kwamba alishindwa kupambana kama ulivyotaja. Unaweza kusema hayo kwa mtazamo nje ya Biblia. Kwa hiyo kila mtu yuko huru kutafsiri anachokisoma...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Mungu anashughulika na mtu mmoja mmoja na wakati huo huo anashughulika na taifa na wakati huo huo anashughulika na dunia. Yako mapenzi ya Mungu kwa mtu binafsi pia yapo mapenzi ya Mungu kwa taifa na yapo mapenzi ya Mungu kwa dunia n.k. Mapenzi ya Mungu yamegawanyika sehemu mbili, 1) mapenzi ya...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Mimi sio mtaalamu kwenye kuchambua sana mambo ya siasa lakini kwa sababu umegusia Biblia nina neno la kuweka. Yako mambo kadhaa kuhusiana na dhana ya Mungu kutojali sana watu wake namna wanadamu wengi wanavyotegemea; 1) Uendeshaji/Utawala wa mambo ya dunia Mungu alimwachia mwanadamu ingawaje...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Elon Musk : Vipofu sasa wataanza kuona

    Kumwamini Yesu kunakuwaje ujinga? Au Yesu alikataza watu wasifanye uvumbuzi?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

    Hili la kanisa katoliki kwamba wanajua Biblia kuliko madhehebu mengine sina uhakika, japo sio hoja. Hoja ni kama wanafundisha na kufuata inavyopaswa kilichoandikwa ndani ya Biblia. Hakuna mahali Yesu amefundisha mitume wake wawaache wake zao kwa ajili ya kumtumikia Mungu, utume wao ni kazi kama...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Yesu akamwambia, mbona unaniita mwema?

    Kama umesoma vizuri hajakataa kusema yeye sio mwema, ila kamuuliza kwa nini unaniita mwema? Kama alijiona yeye sio mwema asingejisema kuwa yeye ni mchungaji mwema. Yohana 10:11 [11]Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Uongo Mwingine wa Mathayo uko hapa:

    Sasa wewe umeweka hoja gani? Yani kwa sababu hujaelewa kwa nini tukio fulani lilitokea basi unarukia kusema ni uongo?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Uongo Mwingine wa Mathayo uko hapa:

    Kwa hiyo Mathayo, myahudi aliyeishi wakati wa Yesu akiwa duniani, akawa mwanafunzi wake, aliyeaminiwa na Yesu kuwa mmoja wa mitume wake akatunga uongo kuhusu Yesu ili aje kuuawa kwa uongo huo? Lakini mwarabu aliyeishi miaka 600 baada ya Yesu, aliyezaliwa uarabuni, eneo lililotawaliwa na...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

    Wanaposema yeye ni Rais wa pili mwanamke Afrika ni kivipi mbona mimi nawakumbuka wawili waliokuwepo tayari JOYCE BANDA na ELLEN JOHNSON SIRLEAF?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi, soma Hesabu 34:1-15

    Yuda na Israeli walishapigana, Yuda ilikuwa maeneo ya kusini katika milki ya kabila za Yuda na Benjamini, Israeli ilikuwa kaskazini maeneo ya makabila tisa, kabila moja la Walawi hawakuwa na urithi wa eneo, wengiwao walienda kusini. Samaria ulikuwa mji mkuu wa utawala wa kaskazini Yerusalem...
  11. H

    JamiiForums Tanzania PNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu wa Watu Kugombana Kwasababu ya Vyama!. Watanzania Tuukatae Ujinga Huu!

    Mpaka kufikia ujasiri wa kuongea vile ni wazi kilichokuwa kikisemwa kuwa ni mvutano/vita ya ndani kwa ndani sasa imefikia hatua nyingine. Taratibu ufa utaanza kuwa dhahiri. Na amejitofautisha na boss wake kwa kusema mtazamo wake sio serikali ya fulani. Hiyo ni dalili ya kutafuta kuungwa mkono...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Je Tuutumie Mwezi Huu wa Toba, Kufanya Toba ya Kweli, Tukiri Makosa Yetu, Tujute Dhambi Zetu, Tuungame, Tusamehewe, Nchi Itakasike Au Tusubirie Tume?

    Mengi mazuri, Niweke machache; 1) Sarah alimzaa Isaka akiwa na miaka 90 sio 80 2) Ibrahim kuzaa na Hajiri haikuwa sawa machoni pa Mungu, Pamoja na kwamba Ibrahim alikuwa nabii lakini pale alikosea kwa sababu alimsikiliza mke wake sio Mungu, na baada ya hicho kitendo sura inayofuata Mungu...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Katika Biblia masihi(messiah) maana yake ni “Aliyepakwa Mafuta” au aliyechaguliwa kwa kazi maalum. Na hapa hasa waliopakwa mafuta ilikuwa ni ili kutimiza majukumu ya Ufalme au Ukuhani au Kuwa nabii. Definitely kuitwa Masihi peke yake hakumaanishi huyo ni Mungu. Katika unabii wa Biblia, Masihi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tanganyika vs Tanzania

    Azania
  15. H

    JamiiForums Tanzania Fundisho la Upatanisho Halikufundishwa na Yesu Bali Lilibuniwa na Paulo

    WALAWI 4:20,21 (Agano la kale) 20 Ndivyo atakavyomfanyia huyo ng'ombe; kama alivyomfanyia huyo ng'ombe wa sadaka ya dhambi, atamfanyia na huyu vivyo; naye kuhani atawafanyia upatanisho, nao watasamehewa. 21 Kisha atamchukua huyo ng'ombe nje ya marago, na kumchoma moto vile vile kama alivyomchoma...
Back
Top Bottom