Madai yako eti "usawa ktk mgawanyo wa madaraka ni upuuzi mtupu" kwa taarifa yako tu hatumpi madaraka kwa dini yake bali tunatoa kwa uwezo wake ikiwemo Elimu ya kutosha!bahati mbaya sana ndugu zetu waislam wengi ndio wanasoma elimu dunia ss hivi wakati aliewaletea dini (ya kiislam) alikuwa ni...
Hawa jamaa kwa kweli wizi wao ni nje nje tena bila aibu!Mm.mwenyewe wameniibia vya kutosha!nimelalamika mpaka nimechoka,nilichofanya ni kuamia G smile na Airtel!Vodacom ni shiida..!wezi sana!
Ni kweli kazi ni kwako...! Kubaki au kuondoka! Mm ni mteja wao wa miaka mingi sana tangia vodacom inaingia nchini ila kwa sasa nimewahama hasa jwebye data receiving natumia sana mtandao wa tigo au Airtel ni nafuu na sio wezi km vodacom...vodacom ni wezu balaa! Wanakuibia mteja mchana...
Prof.Muhongo hayuko unavyomtaja! Ni kutaka kumchonganisha na watu, ni msomi na mkweli! Matatizo yetu sisi ni hao wana siasa wetu uchwara..! Kuwa na data kwanza kabla ya kuweka utumbo wako kwenye hii forum! Hatupendi watu vilaza km wewe unalitia aibu jukwaa..!
JK hata km ingekuwa sio Karume day aende kufanya nn kwa mtu aliesababisha mauaji kwa raia zake mwenyewe kwa uroho wa madaraka? Huyu tolu ni mtu mbaya sana na hatari hafai! Nyamwasa yule adui yake #:1 anadai Kagame ndie alietoa order ndege iliyowabeba marais wa Rwanda na Burundi kutunguliwa...
Ni kweli wana ujinga uliopitiliza! Yale mafumanizi yote uwa ni picha za kutengeneza tu, lakini magazeti yake hayatakuwa na uhai mrefu maana watu wengi ss wameshagundua huu UPUUZI anaofanya...!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.