Recent content by Hardwood

  1. H

    Nahisi hadi sasa USA ameshajiandaa kwa lolote na kuna kitu anakitafuta Russia

    Sio rahisi hivo. Matumizi ya Drone swams yanaweza kusababisha SAMs na infantry ziwe useless kwenye vita. Tayari vita ya Ukraine imeshaonyesha umuhimu wa Drones kwenye modern warfare. Hata laser weapons zimebadilisha sana uwanja wa vita kwani unaweza kutuma kombora na likalipuliwa kwa laser...
  2. H

    Msaada: Divisio 2 ya PCB unaweza kusoma kozi gani?

    Division II ya point 10 hata Medicine anaweza kusoma katika chuo chochote Tanzania, such as MUHAS, UDSM, Bugando, KCMC nk. Kama ana point 11 au 12, inaweza ikawa ngumu kusoma Medicine, but anaweza kusoma other medical courses kama Pharmacy, Micro Biology, Molecular Biology etc.
  3. H

    Nchi 10 za Afrika zenye akiba kubwa ya Dhahabu kwa mujibu wa Statista

    Kwa hali ya uchumi wa dunia unavyokwenda, kuna uwezekano kwamba ndani ya miaka kumi hadi ishirini ijayo US Dollar itapoteza thamani yake kwa kiwango fulani, hasa kutokana na uwezekano wa mataifa mengi kuanza kupunguza USD reserves wakiogopa kutendwa na Marekani alichotendwa Russia. Kwa sababu...
  4. H

    China yazindua ndege kubwa ya kwanza ya abiria (C919)

    Hii ni mental slavery.
  5. H

    Wabunge 19 wa CHADEMA watinga Mlimani City

    Kama Mrema kasema maamuzi yameshafanyika, kavuruga process nzima ya huo mchakato
  6. H

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

    Huku kwetu (Southern hemisphere)kukiwa msimu wa baridi (winter) huko Ulaya (Northern hemisphere) kunakuwa msimu wa joto (summer). Kwahiyo, Bara Ulaya wanaingia msimu wa joto ndani ya wiki tano zijazo, wakati sisi tunaingia msimu wa baridi ndani ya kipindi hicho.
  7. H

    Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Hii ni [emoji817] mkuu. Tanzania tunatakiwa kushughulikia vitu viwili tu kwa sasa....uchawi(ushirikina) na unafiki (fitina).
  8. H

    Zaidi ya nyumba 100 zimetelekezwa hapa ununio kwa zaidi ya miaka 12 sasa. Je, nini kiliukumba huu mradi?

    It is unlikely for the rational investor kutumia pesa yake kwenye uwekezaji kama huo...hiyo most likely ni borrowed funds. Otherwise, zitakuwa pesa za ufisadi kweli.
  9. H

    Mapendekezo: Serikali ipitie upya Sheria ya Usalama wa Taifa na TISS iundwe upya kwa maslahi ya taifa

    Shida ya hii nchi ni imperial presidency, na haikuanza leo bali ilianza tangu zama za Mwalimu Nyerere. Imperial Presidency imevifanya vyombo vyote vya serikali, ikiwemo TISS, viwajibike zaidi kwa maslahi ya Rais kuliko kulinda maslahi mapana ya taifa. Mbaya zaidi, hata Bunge na Judiciary navyo...
  10. H

    Urusi wathibitisha shambulizi la ghala la mafuta Lviv

    Kama vita ya Ukraine itaendelea, itabadilika na kuwa guerilla warfare. Sio rahisi kushinda guerilla warfare na adui ambae uko ndani ya taifa lake, kwasababu hata raia wa kawaida wanapigana hii vita kitu kinachofanya iwe ngumu kabisa kutofautisha mtu mbaya na mwema kwako. Hata Marekani alishindwa...
  11. H

    Humphrey Polepole aelezea sababu za Kibeberu ya nchi moja kufunga ubalozi

    Yaani TZ ni wepesi sana kuingilia maamuzi ya nchi zingine, ila wao wakiingiliwa wanaziita chokochoko na ubeberu. Kama Slow Slow katumwa na serikali aseme haya aliyosema, inabidi serikali ijitafakari maana kuna kila dalili za kupoteza muelekeo. Swali la kujiuliza ni kwanini Denmark haijafunga...
  12. H

    Rais wa Afghanistan kakimbia nchi!

    Marekani ni matapeli na malaghai.
  13. H

    CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025

    Picha ninayoiona ni kwamba Mama amekabidhiwa the fake enemy (mboe and cdm) apambane nao ili muda wake upotee bure bila kuwa na strategy ya maana kumjenga kisiasa ndani na nje ya chama, while the real enemies are within his own party. Clearly, kuna kundi ndani ya green party halimtaki mama 2025...
Back
Top Bottom