CIA inamtesa Putin vikali, yaanza maandalizi ya kumtoa rasmi Kremlin

Nikweli us hawezi kufanya hivyo coz Russia anatumia nukes kama defence mechanism. Mzozo unaoendelea ukraine ni proxy war yaani hapa mabeberu yamezamilia kumpa hasara Russia.
Na ndicho kitakachotokea, Ukraine itakua Russia's Vietnam. Mwishowe sitashangaa Urusi akiamua kuondoa majeshi yake kimyakimya au atumie tactical nuclear weapons kumaliza mzozo kuondoa fedheha. Kumbuka mpaka sasa wamagharibi wanatenga kabisa fedha kuendesha hiyo Vita ili ipiganwe hata miaka ili uchumi wa Urusi uanguke
 
Iwe Nyukilia power isiyo ni lazima Malengo ya kumuangusha Putin yatimie ni suala la muda tu. Hivyo umeshasikia tena tambo zake za nukes tena?
Kwasasa haongelei tena nuclear war baada ya kuona West hawaogopi tena wanapeleka silaha waziwazi
 
Maoni mengi ya wanataaluma, wanazuoni na think tanks wa Magharibi wanaona kabisa West wanacheza na moto wanavyojaribu kuchochea mgogoro wa Ukraine.
 
Lakini pia Urusi inachukua maeneo muhimu kila kukicha. Inamalizia kuchukua Odesa. Imeshachukua mariupol. Sio kila landmass ni muhimu katika nchi. Russia wameshaifungua Ukraine isipakane na bahari.
Wameshachukua maeneo muhimu wa uchimbaji wa chuma, makaa ya mawe na metali zingine. Wamechukua pia maeneo yenye reserves za natural gas pale Crimea na pwani yote iliyopakana na Donbas.
Sasa nani anafaidika? Anayepanda vipande vya ardhi vyenye rasilimali au anayetuma silaha bila kufaidika chochote?
Urusi wameanza kusambaza ruble katika maeneo ya Mariupol, Kherson, Zaporishia, Melitopol na Donbas.
Wameshafungua balozi za LPR na DPR mjini Moscow na mabalozi wameteuliwa.
Nini maana ya gains kiutawala, kiuchumi na kimkakati kama sio hizo?
 
Hiki ndicho unachoweza kusema, Marekani sasa yaanzisha propaganda za kwamba Putin ana mpango wa vita ya muda mrefu ili waendelee kupeleka misaada ya kivita na kifedha, lengo likiwa ni kuyakomboa maeneo yote ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi na hatimaye kuingia Moscow moja kwa moja na kumfurusha Putin Kremlin kadri siku zinavyoenda.

Hii inaonyesha kwamba mipango ya Wamagharibi imekwiva na kuhakikiwa vizuri.
_________________________________________

Putin anajiandaa kwa vita vya muda mrefu- Marekani

Vladmir Putin anajiandaa kwa vita vya muda mrefu nchini Ukraine, huku hata ushindi katika eneo la mashariki hautamaliza mzozo huo, idara ya kijasusi ya Marekani imeonya.

Onyo hilo linakuja huku mapigano makali yakiendelea katika eneo la mashariki, ambako Urusi inajaribu kuchukua eneo.

Moscow ilielekeza nguvu mpya kwa wanajeshi wake kuteka eneo la Donbas baada ya Ukraine kukataa majaribio ya kuchukua mji mkuu wake wa Kyiv.

Lakini licha ya hayo, vikosi vyake vimesalia katika mkwamo, taarifa za kijasusi za Marekani zilisema.

Avril Haines, mkurugenzi wa ujasusi wa kitaifa, aliiambia kamati ya Seneti ya Marekani iliyosikiza Jumanne kwamba Bw Putin bado ana nia ya "kufikia malengo zaidi ya Donbas", lakini kwamba "anakabiliwa na kutofautiana kati ya matarajio yake na uwezo wa sasa wa kijeshi wa kawaida wa Urusi".

Aliongeza kuwa rais wa Urusi "pengine" alikuwa akitegemea msaada wa Marekani na EU kwa Ukraine kudhoofika huku mfumuko wa bei, uhaba wa chakula na bei ya nishati ikizidi kuwa mbaya.

Hata hivyo, rais wa Urusi anaweza kugeukia "njia kali zaidi" huku vita vikiendelea - ingawa Moscow ingetumia tu silaha za nyuklia ikiwa Bw Putin ataona "tishio lililopo" kwa Urusi.

Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Ulinzi Scott Berrier aliambia kikao hicho kwamba Warusi na Waukraine walikuwa "katika mkwamo kidogo".

Katika mapigano ya hivi punde zaidi, Ukraine inadai kutwaa tena makazi manne katika eneo la kaskazini-mashariki la Kharkiv.

Cherkasy Tyshky, Ruski Tyshky, Rubizhne na Bayrak wote yalinyakuliwa kutoka kwa Urusi, vikosi vya silaha vya Ukraine vilisema.

Rais Volodymyr Zelenskiy alisema mafanikio ya Ukraine yanasukuma hatua kwa hatua vikosi vya Urusi kutoka Kharkiv, ambayo imekuwa ikishambuliwa tangu vita hivyo.

Lakini alisema Waukraine "hawapaswi kuunda mazingira ya shinikizo nyingi za maadili, ambapo ushindi unatarajiwa kila wiki na hata kila siku".

Alafu nyuklia unaiacha wapi?!
 
IQ of the content=80%
 
Kinachonishanga Marekan ndo anekuwa reporter mkubwa wa upande wa Russia, siku ya Victory day walitutangazia kuwa Putin ndo atatitumia siku ya kutangaza vita kamili, lakini wala hajafanya hivo yani wanahaha hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndicho kitakachotokea, Ukraine itakua Russia's Vietnam. Mwishowe sitashangaa Urusi akiamua kuondoa majeshi yake kimyakimya au atumie tactical nuclear weapons kumaliza mzozo kuondoa fedheha. Kumbuka mpaka sasa wamagharibi wanatenga kabisa fedha kuendesha hiyo Vita ili ipiganwe hata miaka ili uchumi wa Urusi uanguke
Beb
 
Haiwezekani kutumia nukes kwani hizo silaha nizakujilinda against western aggression. Mabeberu kinachowaisaidia wana ukwasi wakutosha yaani yanauwezo wakufinance vita kwa muda mrefu. Kuna video za propaganda zinaonesha conscripted soldiers wanavyolalamika jinsi Putin alivyowaingiza vitani bila kutarajia. Kama nikweli ndio issue za kukwepa gharama kwa kuwatoa sadaka vijana
 
Back
Top Bottom