Recent content by Hardwaycomes

  1. Hardwaycomes

    Dkt. John Magufuli, nami namwombea radhi Mkurugenzi wa Geita - mengi mazuri ameyafanya

    Bila shaka wewe ndiye mkurugenzi mwenyewe,nenda kaombe radhi physically,atakuelewa "may be"
  2. Hardwaycomes

    Rasmi nimesitisha kuwekeza biashara kwa mpenzi wangu machale yamenicheza

    Ndugu hii ni hatari mnoooo,kuna jamaa hapa alipata ulemavu kwa kufanya Mambo kiupofu Kama unavyotaka kufanya wewe...
  3. Hardwaycomes

    Kijana unaanzaje kuishi na familia ya mtu

    Kwa hiyo hata duo-cortexcin hatupati???
  4. Hardwaycomes

    Kijana unaanzaje kuishi na familia ya mtu

    Ndiyo lakini ndiyo tuwakimbie?
  5. Hardwaycomes

    Kijana unaanzaje kuishi na familia ya mtu

    Na waliozalishwa na waume za watu je? Hao wanawake wanakuwa wake wa waume za watu?
  6. Hardwaycomes

    GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Wewe umedanganyika kirahisi sana, haujaongezewa mshahara, isipokuwa umepunguziwa Kodi kidogo,(basic salary yako ipo vile vile) na madhara ya hiyo kitu ni kwamba, michango yako ya mifuko ya hifadhi ya jamii haijaongezeka hata mia moja, na kuongeza kodi ni swala la sekunde tu, lakini angeongeza...
  7. Hardwaycomes

    Mamaz Mwanaume mwenye watoto na wanawake tofauti tofauti ungeishi naye vipi?

    Ni sahihi kabisa alikosea kumdanganya, lakini jiulize, Kama alimdanganya zamani, na amekuwa mwema kiasi Cha kufurahia maisha yake, kuondoka kunamsaidia kiasi gani ukilinganisha na kubaki? Lakini pia jiulize, yeye akiondoka leo, (akiwa na watoto wake 3) ataolewa tena? Au ataishi pasipokuwa na...
  8. Hardwaycomes

    Mamaz Mwanaume mwenye watoto na wanawake tofauti tofauti ungeishi naye vipi?

    Itakuwa ni kosa kubwa sana kufanya maamuzi ya kumuacha kwa sababu ya makosa ya zamani ya mume wake! Anaweza kumuacha akaenda zake, lakini je, anaenda kuolewa tena, anaenda kubaki single maisha yake yote? Au anaenda kuanza maisha ya kutoka na waume wa watu pia? Yeye tayari atakuwa na watoto 3...
  9. Hardwaycomes

    GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Hahahaaa, wanapaswa kutwambia sasa kipya walichogundua, ili wote tufahamu kwamba kumbe yale waliyoyapigia kelele si muhimu tena, na sisi tutapima ugunduzi wao kama ni wenye manufaa kwa vizazi vya sasa na baadaye...
  10. Hardwaycomes

    GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Alichoandika ni ukweli japo ametumia lugha kali sana! Utakumbuka wasomi aliowataja hapo juu namna walivyokuwa mstari wa mbele kupigania mabadiliko ya kimfumo (katiba) walizunguka kila mahali kutuaminisha kuwa ili nchi ikae sawa sawa tunalazimika kubadili msingi wa uendeshaji nchi, leo hii wao...
  11. Hardwaycomes

    GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Nimekuelewa japo sio sana, nitakuelewa zaidi ukinisaidia pia maswali haya... Nilipopita pale tazara, (FLY OVER YETU) niliona bango limeandikwa "kwa ufadhili wa watu wa JAPAN" (najiuliza hapa tuwashukuru watu wa JAPAN au JPM?) NASIKIA ubungo pia kutakuwa na bango kubwa lililoandikwa "KWA...
  12. Hardwaycomes

    Pikipiki inauzwa bado mpya

    Nitumie namba yako tuongee
  13. Hardwaycomes

    Pikipiki inauzwa bado mpya

    Chukua 450,000 chap chap
Back
Top Bottom