Recent content by HardMartin

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ajira zipo, Mrejesho wa jinsi nilivyopata ajira kupitia jukwaa hili

    Hongera sana mkuu. Mshahara uliochangamka ni sh.ngapi mkuu
  2. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naona safari ya Askofu Gwajima kurudi CHADEMA 2025

    na haya yanayotokea ni sehemu ya huu utabiri?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Unapatikana wapi mkuu, karibu tufanye kazi kama upo serious. DM iko wazi pia
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mauzo yanavutia lakini kwa faida ya laki 8 na matumizi laki 7 na elfu themanini nimehitimisha najitekenya, nimekubali kipigo till next time

    Mimi sijui hata nikushauri nini kwenye hili andiko lako. Kwa kifupi hili andiko umeandika as if biashara yako imekuwa fixed sana. Maswali ya muhimu. 1. Kwani kwa eneo ulilopo kwa mwaka mzima huwezi kuuza mali yenye thamani zaidi ya hiyo 3.8? If yes, basi ongeza huo mtaji mara mbili au tatu...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Mkuu, tusaidie na ishu ya mbolea. Ni mbolea zipi zinatumika kukuzia mahindi na zipi ni nzuri kwa ajiri ya kuzalishia mahindi.???
  6. H

    JamiiForums Tanzania Break down ya Mil. 27 kwa nyumba ya vyumba 3 yenye kila kitu

    Itakufikisha hatua nzuri kabisa, japo sjjaona moja kwa moja pesa ya fundi wa msingi, kuinua boma, fundi wa kuezekana n.k
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ni mbegu gani za mahindi zinafanya vizuri katika mkoa wako?

    Habari ya leo mkuu. Naomba kufahamu makundi ya mbolea za kukuzia na kuzalishia, yaan mbolea zipi nibza kukuzia na zipi za kuzalishia.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya Gharama za kuzungusha uzio kwenye kiwanja

    Ahsante sana boss, ubarikiwe. Nikiwa tayari ntakucheki kwa ajiri ya ramani.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya Gharama za kuzungusha uzio kwenye kiwanja

    eneo lenye ukubwa wa 42mx50m linaweza kuhitaji tofari na cenent ngapi kwa ajiri ya fensi?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya Gharama za kuzungusha uzio kwenye kiwanja

    Mkuu msaada hapa pia, eneo lenye ukubwa wa 42mx50m linaweza kuhitaji tofari na cenent ngapi kwa ajiri ya fensi?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

    Oa ili mkifunga biashara akipata boss mpya amshikeshike apige. Binti mwenyewe mzinzi tu huyo....kumgusa tu imo. Oa uje ulie kwamba umegongewa na house boy
  12. H

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujenga nyumba ya kupangisha kwenye kiwanja hiki

    Wasiliana na kampuni husika uuziwe hiyo raman kamili.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujenga nyumba ya kupangisha kwenye kiwanja hiki

    Nimeiona fb nikaipenda. Ni nzuri kwa wapangaji, nami nimeanza kuifanyia kazi.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Anayejua bei za nguzo za(Seng'enge) kuzunguka plot /kiwanja sehemu za Kijichi - Kigamboni

    hizi naona kama ni nzuri zaidi kuliko zile za cement
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Mahindi ukiyahudumia vyema unavuna gunia 20 hadi 30. Lakini sio huduma alizosema huyo mdau, mbolea mifuko hadi mnne kwa heka moja.
Back
Top Bottom