Recent content by happymsafi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani duniani ni wazuri wa series?

    duniani sijuwi...kwangu mimi italian na turkish series ni nzuri sana
  2. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    mtandao uko vizuri...anyway, ninajaribu njia nyingine...asante
  3. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    nikiingi katika subscene.com halafu nikiandika jina la movie inaleta maelezo no results found
  4. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    ndiyo, natumia VLC player
  5. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    imekataa inaniambia no results found!
  6. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    usijali...
  7. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    asante sana, ngojea niijaribu kama itakubali
  8. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    asante sana...ngojea nijaribu nione kama itakubali
  9. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    unaweza ukanitajia moja ya hizo software? me nimejaribu na movie maker haikubali
  10. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    mbona siioni hiyo link?
  11. H

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuingiza subtitles

    kwa anayefahamu naomba mnielekeze ninaingiza vipi subtitles zangu mwenyewe kwenye video? asanteni sana
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    kaka wa watu alikuwa mstaarabu sana hakustahili jibu nililompa
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    hii kauli niliwahi kumuambia mkaka mmoja lakini baadae nilijisikia vibaya sana...nilitamani nimuombe msamaha nilishindwa nianzie wapi...ila yule kaka alikuwa mstaarabu sana...nimesikia sasa hivi ameoa.
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimebakwa na wanawake watatu

    LOL
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kifo?

    nadhani hiyo hali ikifika kila mtu anakuwa yuko tayari kwa kujiandaa nayo tatizo muda na mazingira...binafsi sina mtu ananitegemea kwa sasa lakini katika akili yangu hiko kitu kipo...
Back
Top Bottom