KAMA LISSU ANGEONYESHA NIA YA KUPIGANI MASRAHI LAKINI TANGU MWANZO ANAWATETEA ACACIA
HANA SHIDA NA RASILIMALI ZETU KWA HIYOO TUMUACHE TUU AKAHUDHURIE VIKAO UGANDA
hizo ni propaganda zenu chadema mmeshaanza mbona mnajistukia hivyo!! siyo kwa enzi hizi za magufuli...nani awahonge?...ccm watu wengi mnoo wanagombaniana nafasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.