Binti Msichana
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 109
- 249
Sijawahi kumpenda na kumkubali kiongozi wa ngazi za juu kama rais John P.Magufuli.
Nilichomkubali rais huyu ni uwezo wake wa hali ya juu katika uongozi uliojikita katika kutatua kero za Watanzania masikini.
Rais John Pombe Magufuli ni tunu mpya ya Taifa.
Tanzania yenye ustawi kwa wananchi hatimaye imepatikana
katika uongozi wa JPM.
Hakika Watanzania wamepata mtetezi wa maisha yao.
Mapambano dhidi ya rushwa na usimamizi wa rasilimali za Taifa
ni baadhi ya sifa za JPM.
Watanzania tumuombee rais wetu kwa Mungu azidi kututumikia.
[HASHTAG]#BakiMagufuli[/HASHTAG].