Recent content by happy amos

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anajenga kwao, mkewe akipanga kujenga kwao anamwambia anafanya mambo binafsi

    Iwish ningekuelewa kiundani ndio tumetangana leo rasmi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume aliyeumbiwa kuwa na mwanamke mmoja

    Unazungumzia vishindo vipi? Labda wa zamani siku hizi mnatupapasa tu... Kwendeni zenu huko
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Sasa kama mwanzo tumeanza tunapanga kila kitu tulichonacho pamoja...nini kimetokea mpaka ubadili?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Hata mimi sikua na hela sema sikua na majukum hivyo kipato changu chote kulikua kinawaza maendeleo ya familia...yeye alikua anapata sema majukum ya kwao nimengi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Ndio lkn kwasasa simshauri mtu afanye hivyo 2016 nilikutana na jamaa alikua anajitolea ofc flan analipwa tu kidogo mi nilikua na pharmacy yangu kubwa tu naishi Nilikua nimepanga kiappartment kidogo yeye alikua chumba 1, kitanda fut 3 anakaa chini Nikawa nae akipata hela namshaur nunua hiki hii...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Sawa
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Afu kaenda chaka kwa 💯
  8. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Ninamtoto nae 1
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Mume
  10. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Hizi hasira ni maisha kupanda au nini?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Lkn si vinakusaidia?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

    Iko hivi nimekua katika ugomvi wa mda mrefu na mwenzangu( mume) bila kupata suruhu Maumivu ni makali hasa dharau ndani mtu kuwa na wanawake hadharan Wala hajali hata ukilia unaoneka unampigia kelele tu. Nimeamua kurudi nyumban kwanza kupumzika. Ninawiki sasa nataka nirudi kwangu ila nikapange...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Kisa cha kumuita binadam mwenzio mbuzi ninini? Kwamba ilikua ndani ya uwezo wangu kuzuia mauti yake? Au kabla hajanioa ningekataa sababu nilijua angepatwa na mauti!! mkiwa wazima mnapumua hapa dunian msijisahau sana hakuna aombae matatizo
  14. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Nadhan watu mmeenielewa vibaya,binafsi sijashindwa kumsomesha ila ebu vita picha j3 shule zinafunguliaa leo umebeba wadogo zako kwenda kuwafanyia shopping ya madaftal sijui viatu alafu wanakuja navyo nyumban wanajalibishia mbele ya mtoto, ebu fikilia mtoto anajisikiaje je iyo picha ni nzuri?
Back
Top Bottom