Hakuna mwanaume aliyeumbiwa kuwa na mwanamke mmoja

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,383
40,281
Asili ya dume ni kumiliki majike wengi, iwe kwa wanyama, ndege, hata binadamu pia.

Kinachotufanya tupoteze asili yetu, ya kutokumiliki wake wengi ni sababu za kiimani na kiuchumi, ambazo zililetwa na sisi binadamu wenyewe ili kuweza kuishi kistaarabu, pamoja na uwezo wa kuhudumia.

Ila kiuhalisia, mwanaume mwenye nguvu kamili hawezi kuishi na mwanamke mmoja, atakuwa na wanawake kadhaa waliojificha pembeni; na hii inatokana na asili ya uumbaji.

Mwanamke mmoja hawezi kuhimili vishindo vya mwanaume ambaye nguvu zake halisi bado kuchakachuliwa; ni vigumu kuweza kuhimili vishindo 20 kwa siku. Ndio maana, wanaume uanza kutafuta wa pembeni ili kupunguza hizo haja.

Pia kwa idadi ya wanawake ni wengi sana kuliko wanaume; kama kila mwanaume atajikita kwa mke mmoja, hawa wanawake waliobaki wataishi kwa huzuni na msongo wa mawazo. Ndio maana unaweza kuta, mwanaume mmoja ana wanawake hata watano.

Wanaume wameumbwa ili kumiliki wanawake kadhaa, huo ndio ukweli.
 
Back
Top Bottom